Mimi nina masters nataka kuoa Darasa la saba

kipusy

JF-Expert Member
May 7, 2010
639
321
Jamani wanajamvi naombeni Mawazo yenu. Kuhusiana na kichwa cha habari hapo juu, mie ni Muislam, nilioa Mwalimu wa Primary nikaachana nae baada ya kubaini anafanya Ngono na afisa Taaluma wa Jiji.
Nimepata binti aliyeishia Darasa la saba. Nipeni uzoefu haya Maisha yatakuaje kwa gepu hilo kubwa la elimu.

Nawasilisha.

 
Mwombe Mungu akupe mke sahihi,maana bila hivo utaachana na wengi

ok ndugu. ni ngumu kubaini... ila hilo hujanipa msaada bado maana nimeuliza kitu kingine wewe umeleta ishu ingine.
 
kipusy
jaman wanajamvi nipeni mawazo yenu. kuhusiana na kichwa cha habari hapo juu. mie ni muislam. nilioa primary ticha nikaachana nae baada ya kubaini anafanya ngono na afisa taaluma wa jiji. sasa nimepata kabinti kalikoishia darasa la saba. nipeni uzoefu haya maisha yatakuaje kwa gepu hilo kubwa la elimu???!!
NAWASILISHA....
Kwani via (viungo) vyenu vya uzazi vina elimu gani?
 
jaman wanajamvi nipeni mawazo yenu. kuhusiana na kichwa cha habari hapo juu. mie ni muislam. nilioa primary ticha nikaachana nae baada ya kubaini anafanya ngono na afisa taaluma wa jiji. sasa nimepata kabinti kalikoishia darasa la saba. nipeni uzoefu haya maisha yatakuaje kwa gepu hilo kubwa la elimu???!!
NAWASILISHA....
kipusy mdau, Mwenyezimungu ukimuomba atakupa mke mwema,Mtume Muhammad (SAW) alitaja sifa za mke mwema,baadhi ni hizi:-awe anaijua dini yake, awe mrembo,nasaba yake pia iwe nzuri huko kwenye familia yake na awe na kipato,ili ukifulia akuwezeshe.
Sasa basi kigezo cha elimu hakikutajwa,ila elimu hapo inaangukia kumjua Mwenyezimungu,kama huyo std seven anafaa si tatizo oa,mke wako wa kwanza alikua hana hofu ya mwenyezimungu,wewe hofu yako ipi kwa huyo la 7?
Mkoroshokigoli
 
Last edited by a moderator:
Mambo ni ya kawaida sana. Oanisha fikra zako na kitendo ulichofanya na unachotaka kukifanya. Unaposema"SASA NIMEPATA KABINTI KALIKOISHIA DARASA LA SABA". Kwa fikra zako...wew ni tembo na uanataka kushare na sismizi...Uwe mwalimu na kiongozi wake kwa kila kitu. Mfunze vile unavotaka awe. Futa akilini mwako iyo dhana ya dharau uliyonayo kwake kwamba ni "kabnt kalikoishia", utafurahia maisha ya wawili.

Ninapofikiri kuwa unatabia ya dharau kwa mtu unayetaka kushare naye maisha...NAKUCHUKIA. Vingnevyo achana naye...ukamtafute utakayemzungumzia kwa mizani ya heshima. ACHA DHARAU BRO.
 
Katika ndoa tofauti ya elimu haina athari kubwa.We oa tu mkuu.Nina ndugu yangu n graduate mkewe std 7 na maisha yanaenda
 
Back
Top Bottom