Mimi nimeolewa naishi na mume wangu huu ni mwaka wa tatu bado hatujabahatika kupata mtoto

Mwnye dawa jmn naomba anisaidie. Mimi nmeolewa naishi na mume wangu huu ni mwaka wa tatu bdo hatujabahatika kupata mtoto. Anaejua dawa naomba anishauri.

Hosptal tumeshaenda
Kwani mlipokuwa mnafunga ndoa mlitegemea kupata mtoto baada ya muda gani?
 
Mimi nina miezi mitatu na mke wangu ila ngoma bila bila mpaka nakosa amani miezi mitatu yote hajashika mimba
 
Poleni wadada wote mnaohangaika kupata watoto. Namshukuru Mungu wangu ni kwa neema tuu. Endelea kupata dawa za hospital za kurudisha mwili sawa usikate tamaa.
 
Mwnye dawa jmn naomba anisaidie. Mimi nmeolewa naishi na mume wangu huu ni mwaka wa tatu bdo hatujabahatika kupata mtoto. Anaejua dawa naomba anishauri.

Hosptal tumeshaenda
Pole sana una uzito wa kilo ngapi?
Tatizo lako lilikuwa lipi?Na hizo dawa ulipewa za siku ngapi
 
Pole Sana nenda Muhimbili umwone Dr Tarimo ni gyno mzuri atakuangalia kama una cyst maana hiyo homone imbalance inaleta cyst then jitahid Kula balance diet na epuka wanga mwingi na vinywaji venye sukari nyingi. Tumia tangawizi Kali asbh kama chai.
 
Back
Top Bottom