Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,703
- 8,481
Zanzibar na Tanzania
Wameanza chokochoko ndogo ndogo
Wameanza chokochoko ndogo ndogo
shauri yake ndio ukubwa na kujinyea kumo.Ni kama vile kuna mahali,kwa kauli na Matendo yake,amejilipua mwenyewe badala ya alichokitegemea!
Ebu na nyinyi nisadidieni
View attachment 2505550
Ni kama vile kuna mahali,kwa kauli na Matendo yake,amejilipua mwenyewe badala ya alichokitegemea!
Ebu na nyinyi nisadidieni
View attachment 2505550Kipanya anamaanisha Samia anajilipua mwenyewe kwa kudhani kwamba kuiponda Serikali ya Awamu ya Tano kutamuinua kisiasa na hicho ni kiraka kwenye tako la Mama Samia amabcho maana yake ni kwamba yeye aliingia madarakani kama kiraka na siku zote kiraka ni kikara tu hakitageuka kuwa bora.
Plea bargain mkuuPre Bargain Hiyo Yaani
Umejitahidi kufafanua Vizuri.Hapo inaonyesha kuwa bastola bado haijafytuliwa, isipokuwa mkono upo kwenye "trigger" huku "barrel" ikiwa imeelekezwa mguuni. La sivyo kama ingalitumika tungaliona alama ya moshi kutoka, damu, na pia ishara ya mtu kugugumia kwa maumivu makali.
Uwepo wa bendara ya Tanzania katika kikaragosi hiki huenda ikawa ni ishara ya dola ya nchi yetu. Miguu ni mhimili mkuu wa mnyama yoyote yule aweze kusimama wima ama imara. Kwa hiyo huyo mtu kujielekezea mwenyewe mtutu mguuni ili kujilipua, ni dalili ya kuwa dola kwa kufanya vitu fulani fyongo inajihatarisha yenyewe ama hata kupelekea anguko lake lenyewe.
Wajuvi watadadavua zaidi.