Mimi nimeanza...wewe je? Timiza wajibu wako tulete mabadiliko

NewDawnTz

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
1,667
362
Helow wana JF jukwaa la mawazo huru na pana.

Thread nyingi nimezisoma zikitoa mwongozo kwa wapenda mabadiliko kuanza kuchukua hatua kuwa sehemu ya mabadiliko. Mimi nimeanza kwa kuanzia na watu nilionao karibu na natarajia mtandao huu utasambaa zaidi baada ya muda. Kwa nguvu ya ushawishi na elimu yangu inayonipa kuaminika kati ya wanajamii, nimeanza kuwaelekeza kule ambako kila mpenda Tanzania yetu bila rangi, dini, kabila, chama wala mrengo wowte angependa tufike.

Pamoja na haya nimeamua pia kutoa waraka kwa wanamabadiliko ili wausome kama tathmini yangu kwa mambo yalivyokuwa katika uchaguzi na kile tunaweza kufanya katika kuleta mabadiliko. Nimeambatanisha hapa.

Ni waraka mrefu kidogo, lakini ulioshiba, usiwe na haraka sana ya kuchangia ila TULIZA KICHWA YAKO SOMA na rudia tena na tena na tena kisha wape marafiki zako na wengine ili tuendeleze vuguvugu la mabadiliko.

Kumbuka haya utakayosoma katika kurasa hizi 12 ni mtazamo na maoni yangu na si lazima yawe yako.

Pia nitambue hapa ya kuwa sio yote yanaweza kukufaa ila pia sio kweli kwamba sio yote hayawezi kutufaa. Bahari ni kubwa, ina viumbe wanaoliwa na wasioliwa. Ni swala la uamuzi wa mlaji kuendana na itikadi au mila au msingi wowote kuamua kiumbe kipi kinafaa kula au kipi hakifai. Usibeze bahari kuwa haifai kisa tu mila yako au msingi wako wa maamuzi ya chakula haukuruhusu kula kasa. Weka kasa pembeni kula jodari kama ndie anaekufaa.

Nawasilisha hoja yangu ya mapambano kuelekea mabadiliko ya ukweli

attached
 
Attachments

  • VIVA CHADEMA VIVA.pdf
    487 KB · Views: 110

Tulia isome...sio lazima umalize leo. Kaa chini tulia mkulu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom