Mimi niliyategemea majibu haya, wewe je? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mimi niliyategemea majibu haya, wewe je?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lunyungu, Jul 25, 2009.

 1. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #1
  Jul 25, 2009
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Date::7/25/2009
  Dk Hoseah aonywa, Karamagi, Msabaha bado wachunguzwa


  Na Kizitto Noya, Dodoma

   
  Last edited by a moderator: Jul 27, 2009
 2. Sophist

  Sophist JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2009
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 3,083
  Likes Received: 1,729
  Trophy Points: 280
  Fisi haachi mfupa!
  Tujiandae 2010.
   
 3. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mchanganyo mtupu.

  Eti kapewa ONYO,
  Kisha HANA HATIA

  Mimi sipo.
   
 4. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #4
  Jul 26, 2009
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Nani amvishe paka kengere?, tuwasamehe wote na hata wale wenye kesi mahakamani kama kina Jeetu, Liyumba n.k. tuanze moja yaani kuanzia makosa yatakayofanywa trh 26 July 2009 mtu hatapata msamaha wa kulindana kwani watakuwa wameshaambiana kuwa jamani sasa basi.
   
 5. 911

  911 Platinum Member

  #5
  Jul 26, 2009
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 761
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 60
  New brand day,same old bul$hit!!Damn.
   
 6. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #6
  Jul 26, 2009
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Tatizo la kuwa na serikali iliyooza na kunuka ndo hili. Maana haiwezi kamwe kutambua nani mbovu maana wote wako kundi moja.
   
 7. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #7
  Jul 27, 2009
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Serikali haijiamini maana ukweli ni kwamba waliingia madarakani kwa kashfa hizo hizo , CCM hawana nia njem na Nchi bwana
   
 8. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #8
  Jul 27, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Siwezi kuamini kama Hosea anapeta hivi hivi. Nasubiri kuconfirm tena kauli ya Nyani Ngabu na Steve D. .....ndivyo tulivyo.
  Nakumbuka Hosea aliitisha mkutano pale TAKUKURU akawatukana sana watendaji na kusema hakuna litakalomtokea and here we are. Hosea anashinda and we lose and loose. Kweli miafrika ndivyo tulivyo.
   
 9. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #9
  Jul 27, 2009
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Amesha peta unataka apete mara ngapi ? Majuzi nimepata naye pipa anaenda Munich kwenye mkutano wa rushwa akiwa na mkewe na mtoto wake na wana harakati wa Tanzania ambao wanapinga rushwa alikuwa katulia tu business class hana shida .
   
 10. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #10
  Jul 27, 2009
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,638
  Likes Received: 2,872
  Trophy Points: 280
  Ha ha haaa !! Mkuu Lunyungu kwa stori za airport na mapipa, nakuaminia !! Kuna kipindi ulituinform hapa mambo ya duty free pale airport JNIA wakati ukienda Moscow!!
   
 11. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #11
  Jul 28, 2009
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145

  Ndiyo hivyo mkuu , habari airport nina bahati nazo kila nikipita maeneo hayo .Jamaa majuzi alikuwa huko anahudhuria mkutano ambapo walikuwepo wakenya pia kama sikose na watu Central na we Afrika .Nimepanda naye na alipofika Zurich akawa amechelewa pipa ikabidi aondoke saa 7mchana .Lakini hii si hoja , kwa sasa .Hoja yenyewe ni yeye kusimamia Rushwa na kuwa cleared na huku mamb yana endelea.Naelekea Tabora kuna mkasa mkubwa huko nitakuja na habari toka Resoulute Tanzania LTD naenda kukusanya data na PCCB wana husika kwa hili nalo. Ningojeeni nitakuja hapa soon na mkasa mzima .
   
 12. MpigaFilimbi

  MpigaFilimbi JF-Expert Member

  #12
  Jul 28, 2009
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,171
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 133
  ..jibu hilo walikuwa nalo siku nyingi, walikuwa wanasubiri wakati muafaka kuliangusha. uliwahi kuichukulia PCCB serious kihivyo mkuu? wana kazi kubwa kutushawishi kama wanapambana na rushwa, sio wanaipalilia.
   
 13. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #13
  Jul 28, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  TAKUKURU ndio wanawachunguza Karamagi na Msabaha
  Jamani nchi hii kazi kwelikweli, Sasa hapa mnategemea uchunguzi umalizike kweli wajameni?
  Tunashukuru kwa majibu tuliyoyategemea
   
 14. Ndaki

  Ndaki Member

  #14
  Jul 28, 2009
  Joined: May 5, 2009
  Messages: 80
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  You can fool many people for long time but you can not fool all people!! yana mwisho haya
   
Loading...