Mimi nilikuwa siamini Wz’bar wakisema kuwa Ujambazi uko mpaka ktk Serekali ya Tanganyika?

abdulahsaf

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
858
130
Kipindi kifupi tu nimekuja kubaini hivyo, Nipale wenzetu wa Tanganyika wanapo sema sisi na Wzanzibar ni ndugu? Sasa tuangalie kweli sisi na Vichogo ni ndugu udugu huo umetunganisha wapi sisi kuwa ndugu?.
Kama udugu wetu ni Muungano kwa tarifaa zenu Muungano haupo na kilichobaki ni kitandawili tu, ambacho tumesha kiteguwa wzanzibar,Muungano mumeuvunja wenyewe kwa tamaa zenu za roho mbaya na kuhisi kuwa tufanye mazingaombwe tuwatawale kimpinu Wazanzibar yahuju.
Kifupi Wzanzibar tuko saa sita (timamu) na mambo yetu hufanya taratibu huwa hatutaki papara,sisi tulikuwa na nia safi tulipo ungana na nyiyi hata kwamba Karume alijiamulia mambo kivyake vyake tu lakini tulisema twende na yiyi tuwapime ni watu wa aina gani?.
Lakini nyiyi mukajisahau kwa utapeli wenu mulio zoweana na mukazani na Wazanzibar ni watu wa tabia hizo hizo za kwenu? Muka vunja makubaliano ya Muungano mkataba mama(Artcle Of Union).
Pale mulipo mskiliza Chogo mwenzenu Juliasi alipo jifanye yeye ni yeye super power na kuvuruga makubaliano ya kiungwana yaliokubaliwa na Raisi Abedi Amani Karume kwa nia safi ya kunda udugu na nyiyi.
Mukaiticha kikao cha Bunge lenu la Tanganyika kwa kutokumshirikicha Mzanzibar yoyote eti muna ajenda yenu yaguju, mukamsikiliza Mchonga kuwa kuanzia sasa kila penye neno Tanganyika andikeni Tanzania na katiba ya Tanganyika tutaifanyia marekebicho kidogo itakuwa ndio katiba ya Tanzania yaguju.
Na Raisi wa watu wa Zanzibar atakuwa ni waziri asio kuwa na wizara maalumu na mimi nitakuwa ndio Baba wa Taifa la Tanzania na tutawapelekea makambi ya Jeshi kila chochoro ya Zanzibar kuwazibiti Wazanzibar yaguju.
Sisi wana wa Zanzibar tuko makini na Wazanzibar rabda hamujuwi historia yetu lakini ulizeni ? sisi ni kidogo lakini wa Nyuki sio nyiyi wingi mkubwa lakini wa Nzii kujenga uchafu na Vishwa vyenu usaha.
Tunasema Wazanzibar hakuna udugu na nyiyi wala Muungano yote ni Fake, Kama nyiyi ni ndugu musingalikuwa kila wakati wa uchaguzi munatumiminia Jeshi kuja kutuuwa kwa vile hamuna ndugu wala Shangazi yenu huku, na kama tumeungana wapi tulipo ungana kipi kiunga cha Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kipi kipi? Makubaliano yote ya Muungano mumeyafuja eti mupate kututawala? Kama kutawaliwa kuzuri kwa nini nyiyi mulikubali kujigomboa 9December 19 61? .
Na kiungo cha Muungano ilikuwa ni makubaliano ya mkataba (Artcle Of Union) na mumefuja kwa kutaka kujifanya wajanja ? ilikuwa Raisi wa Zanzibar ni makamo wa Raisi ktk makubaliano Mama lakini mumefuja na bada ya kelele nyingi kupigwa eti mume mchukuwa Dr Omari, Mohammed kumfanya makamo wa Raisi yaguju, kwa upande wa Wzanzibar hawa wote ni wanafiki na watapia mloo hawa kubaliki kwa Wzanzibar .
Kwanza ni watu huchaguliwa na Chama kwa maslahi ya Chama na ilani za chama sio Wazanzibar kwa maslahi ya Zanzibar, Wzanzibar sisi sio vichogo wala majambazi ni waungwana wenye kutekeleza ahati lakini nyie sio Majambazi wakubwa.
Mumemsikiliza Jambazi mwenzenu Juliasi mpaka mukajikom cumfuse hii leo mukiulizwa kipi mulicho kubaliana cha Muungano na kipi sicho cha Muungano hamujuwi? Nyiyi munasema Zanzibar wao wanayo nchi yao kwa vile wana Raisi,Pendera,wimbo wa taifa na katiba yaoe.t.c sasa nani alio wakataza na nyiyi kuwa navyo hivyo? sisi situliungana Tanganyika na Zanzibar lakini nyiyi mukajifanya wajanja? Akili nyingi mbele kiza.
Nani aliowambia mue nchi yenu na katiba yenu? Wazanzibar wanasema kifo cha Tanganyika ni kifo cha kujitakia wenyewe cha kusudi.
Na angalia ujambazi wenu na munavyo zidi kujizonga sisi Wzanzibar hatutaki Muungano unanuka na tunataka kwanza lijadiliwe hili la Muungano sio katiba? Lakini nyiyi munangagania katiba wakati ikiwa huna nchi katiba sio lolote? Sasa kwa nini ikiwa sisi Zanzibar tuna nchi yetu nyiyi Musidai dai nchi yenu au kuzungumzia kuhusu Muungano umewapokonya nchi nyenu katiba itawasaidia nini nyiyi Majambazi?.
Kifupi nyiyi mukiambiwa kuhusu Wzanzibar wanataka Muungano uangaliwe upya au uvunjwe tugawane mbao nyiyi hutoka kwenye mada kusema nyiyi muko wengi hapa ,sijuwi muna maduka makubwa na majumba makubwa yale yale mambo yenu mulio zoweya ya Ujambazi?.
Nyiyi munazani Wzanzibar wako Tanganyika tu? Na ikiwa Wzanzibar watahama simutapata faida ya kurisi maduka na majumba? Nyiyi kiuhakika hamuwezi kutukosa kwa sababu tumewafundicha ustarabu wakuvaa nguo na biashara? Hakuna mkoa hata moja Zanzibar watu wake kwenda ushi ikawa hawavai nguo kujistiri.
Daini Tanganyika yenu mulio ipigania jacho na Baba yenu wa Taifa, kama vile Zanzibar na Baba yetu wa taifa la watu wa Zanzibar maduka na Nyumba za kariakoo sio issu. Issu daini Tanganyika yenu kwa mambo yenu katiba itawasaidia nini Chadema ikiwa Wzanzibar wao wanadai kujitowa ktk Muungani jee mutatumia katiba ya Tanzania wakati Zanzibar haimo vichekecho hivi ?. Wazanzibar wanaisabu siku kama nyiyi mumeshindwa kudai Tanganyika yenu ilio kufaa kama munavyo sema?.
 
Mi siongei kitu hapa wala sitii chumvi umemaliza muandishi....
 
Mimi huwa namshangaa sana huyu jamaa na nguvu zake nyiiiingi dhidi ya muungano katika namna ya kuibeza Tanganyika. Hivi unadhani Tanganyika ina cha kupoteza muungano ukivunjika? If you're thinking so, then you're fooling yourself. Sana sana Zanzibar itageuka major terrorist centre and drug trafficking route. Believe it or not. Nyie badala ya ku-propose muungano uimarishweje, mnachochea kuuvunja.

Zanzibar, kwa namna yoyote ile, haina uwezo wowote wa kuwa mfumo imara wa kiulinzi - polisi, jeshi, n.k. na hasa kwa kuzingatia jiografia yake na idadi ya watu wake. Muishukuru sana Tanganyika kwa ulinzi mnaopewa and other support. Mmechoka na muungano mnataka sasa kuijaribu Al-Shabab na Al-Qaeda eh? Kakisiwa kenyewe kako huko katikati ya bahari halafu kazi kuleta nyodo tu hapa! Bye bye Zanzaibar, we even don't like to hear about you.
 
Back
Top Bottom