Uchaguzi 2020 Mimi ni team Magufuli ila nimemkubali Lissu ana uthubutu anafaa kuwa kiongozi!

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,626
Niseme kwa dhati kabisa bila kumung'unya maneno mimi nakubali sana utendari wa dk magufuli amefanya mambo makubwa sana na ameonyesha njia.

Mfano nzuri tu ni mradi wa Rufiji hapa nampongeza kwa moyo wangu wote hichi alichokifanya ni kikubwa sana piga ua jpm kuujenga huu mradi kaonyesha element fulani ya uzalendo ambao viongozi wengi waliukwepa huu mradi kisa mabeberu.

Nije kwa huyu mtu anaitwa Tundu Lissu.

Huyu sio binadamu wa kawaida aisee!na zaidi ya mwamba huyu mtu ni kiongozi pekee wa upinzani ambaye naweza kumuamini kwa asilimia mia moja kwamba mikononi mwake tupo salama yaani lissu hata siwezi kumuelezea daaah.

Lissu ni zaidi ya tumjuavyo ni kusudio la mungu ndoto ya kuwa rais kwa lissu haitoshindwa kamwe haijalishi itapita nini haijalishi ni uchaguzi wa mwaka gani ila lissu one day atakuja kuwa rais tu he deserve to be presdent!

Ni kiongozi pekee ambaye sio mnafiki ana akili nyingi na anaaminika yaani namuangaliaga Lissu nakosa majibu nakosa cha kuandika!

Nishasema na narudia!katika binadamu wanasiasa mtu nayeweza kumuamini kwa asilimia zote ni Lissu.

Lissu sio mwanasiasa wa kuhama hama kama wengine ni mtu asiyetetereka ni mtu ambaye anaweza kuifanya nchi ikafika kwenye level za korea kusini na singapore huyu mtu ni zaidi ya mwamba huwa nikimwangalia lissu nakosa jibu jamaa yupo kwa mpango wa mungu tu sio wa kawaida mungu kampa kitu ndani yake.

Mungu ibariki Tanzania
 
Lissu ni mchumia tumbo tu hana lolote

Muulizeni alipata wapi pesa za kujenga kigorofa chake pale tegeta
 
Ondoa JPM weka chuma kipya Lissu.
 
Ni kweli ukiondoa u vyama, katika wagombea wote ni Tundu Antipas Lissu anafaa ana anawapita wote kwa vigezo muhimu vyote - hasa uelewa wa mambo mengi kuhusu Taifa letu. (Siasa, kiuchumi na kijamii)
 
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi
 
Muulizeni alipata wapi pesa za kujenga kigorofa chake pale tegeta
Sio Mshabiki wa Tundu Lissu; Ila kwenye Suala la Ghorofa brother ni kitu cha kawaida tu, Kuna Afisa Tehama Mamlaka Fulani ya Serikali ameanza kazi 2014 amejenga Ghorofa nzuri sana Boko magengeni; Ghorofa Siku izi ni Jambo la Kawaida; Sasa Mtu aliyekuwa Mbunge Kwa miaka 7 atashindwa kweli kujenga gorofa??
 
Alijenga kigorofa chake kabla ya ubunge, Muulizeni alipata wapi pesa?
Sio Mshabiki wa Tundu Lissu; Ila kwenye Suala la Ghorofa brother ni kitu cha kawaida tu, Kuna Afisa Tehama Mamlaka Fulani ya Serikali ameanza kazi 2014 amejenga Ghorofa nzuri sana Boko magengeni; Ghorofa Siku izi ni Jambo la Kawaida; Sasa Mtu aliyekuwa Mbunge Kwa miaka 7 atashindwa kweli kujenga gorofa??
 
Alijenga kigorofa chake kabla ya ubunge
Milioni Ishirini Kigorofa inatosha kabisa; Hata Mtu wa Misheni Town anaweza Kujenga;
Kama ni Ghorofa la maana Hapo inabidi tumuulize ila kama ni Kigorofa Anaweza kupata hela za kudunduliza na kazi yake ya uanasheria Ushwara akajenga.
 
Alijenga kipindi kile anajifanya anawapigania wananyamungo kumbe nyuma ya pazia...

Back
Top Bottom