Mimi ni mwanaume wa mkoani niulize swali la kimkoani tu?

Carbondioxide

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
733
194
88c9714a50de2972656745631dbb4c5d.jpg

Habari JF members.
Mimi ni mwanaume wa mkoani uliza maswali kuuhusu.
1.Umri
2.Relations
3.Education level
Na mazingira yanayotuzunguka binadamu.
Nikishindwa maswali wamikoani wengine watasaidia.
5e4e9998a65f1b970708a077ed740fa1.jpg
 
Eti ni kweli huwa mnalima bila nguo
Si kweli na halina uhusiano na wanaume tunaotoka mikoani,

Kulima bila nguo ni kitendo cha ushirikishi wa uhalisia na nguvu za giza, kama hufanyika basi hata kwa wanawake wa jamii ya visiwani pia walishawahi shutumiwa juu ya hilo, hususan maeneo ya Mafia na hata huko Mauriutius
 
Kwanini mnapigwa na Wanawake zenu?
Mtu kula samaki si habar,lkn Samaki kula mtu ndio habar..

Huwa tunawapiga sana, lkn kutokana na attention iliyopo kwa kitendo hicho ni ngumu wewe wa Dar kukufikia hiyo taarifa, mara chache wapigwazo wenzangu hupewa attention kwasababu huwa habar
 
Mla chips wa Dar = shoga wa Mwanza.
Chips huliwa karibia dunia nzima,ni internation food, hivyo si Dar pekee huliwa,

Shoga hii yenye maana rafiki wa karibu kwa ndugu zetu wa jinsia ya kike,

Watu wenye jinsia hiyo huwaita rafikizao wa karibu jina hilo, hata kama rafiki yake yupo kenya, atamuita shoga wakenya

Hivyo sina shaka na jinsia yako ndio sababu ukawa na shoga huko mwanza
 
Sawa kabisa shoga... hujakosea sana.

Ushoga uliuanza lini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom