Mimi ni mwanafunzi wa chuo natafuta sehemu yoyote ya kujishikiza hata kazi

Mungu akufanyie wepesi, JF ina watu ninaamini utapata muafaka wa jambo lako.

Ushauri wangu.

Ujuzi ulio nao kwasasa, huo muda unao kuwa free jifunze Digital Marketing kisha Ingia mtandaoni tengeneza brand, hautojuta kufanya hivyo hata baada ya kumaliza chuo na hiyo brand yako inaweza kuwa daraja ya kupata watu na kazi zaidi.

Siyo rahisi ila inawezekana kama ukiamua.
 
Habarini wakubwa! Mimi humu sio mgeni sana ila leo pia nmerudi kuomba kwa yeyote yule mwenye biashara yake au sehemu yoyote katika ofisi yake ndani ya Dar es salaam. Niweze kupata hata muda wa kufanya kazi kwake kwa sababu ratiba yangu ya chuo saivi imekuwa inanipa sana muda wa kutosha ambao nikiangalia ni kheri nikawa na sehemu yoyote hata ya kujishikiza kuliko kukaa tu nyumbani kwa sababu chuoni ratiba yangu kwa sasa ndani ya week naend siku mbili tu ambayo ni jumatatu na ijumaa na siku zilizobaki nyingine nakuwa sina cha kufanya.

Uwezo wangu upo katika kutumia sana computers sana sana ni kazi za stationary ata pia za kutumia Microsoft Word, Excel na hata Adobe Illustrator na Adobe Photoshop.
Pia katika kupiga picha na kuedit nipo vizuri.
Kwenye upande wa ubunifu pia nipo vizuri nachora na napenda kujifunza kufanya graphics designing.
Nina nidhamu ya kutosha kutokana na mazingira niliyokulia yamenifanya niweze kuwaza mambo makubwa zaidi ya umri wangu.
Naombeni mnisaidie wakubwa wangu
Nenda Upwork tafuta hiyo application shinda humo, itakubust pakubwa
 
Mungu akufanyie wepesi, JF ina watu ninaamini utapata muafaka wa jambo lako.

Ushauri wangu.

Ujuzi ulio nao kwasasa, huo muda unao kuwa free jifunze Digital Marketing kisha Ingia mtandaoni tengeneza brand, hautojuta kufanya hivyo hata baada ya kumaliza chuo na hiyo brand yako inaweza kuwa daraja ya kupata watu na kazi zaidi.

Siyo rahisi ila inawezekana kama ukiamua.
Amina! Nashukuru kwa ushauri. Hiyo Digital marketing nahisi nishaanza kuifanya bila mimi mwenyewe kujua kwa muda huu kwa maana Instagram nilishatengeneza account na ina zaidi ya 7000 followers pia YouTube nishajaribu kutengeneza account na kujaribu kutengeneza lyrics video kama mbili zikapata views 1000 ila saivi sehemu zote izo nmestop kuzitumia kwa muda
 
Good. Upo katika nafasi nzuri kikubwa ni kuendeleza taratibu huku ukiendelea kutafuta harakati zingine.

Ni uwekezaji mzuri na huwa na matokeo mazuri sana baadae.

Iendeleze taratibu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom