NEEMA MWAIPUNGU
Member
- May 22, 2012
- 43
- 1
mimi ni mwanafunzi niliechaguliwa kuingia chuo kikuu cha ifm kuchukua degree lakini sina uwezo kwa sasa na hata mkopo sikubahatika kupata baba yangu alikwisha faliki miaka mingi liyopita na mama yangu amepunguzwa kwenye ajira yake hivyo nilikuwa nnapenda kuchukua fulsa hii kuomba msaada wa mawazo na pia ajira kama nitafanikiwa kupata kwa kweli na kama ikiwezekana jioni baada ya vipindi vyangu au au hata cku amabzo nakuwa sina vipindi ili niweze kujisaidia na kujisongesha na maisha yangu nashukuru kwa kunisikiliza