Mimi ni mwanachama wa CHADEMA, lakini Siwezi kumnanga Halima Mdee nampenda sana

Ni kweli Halima alifanya kosa na ni bayana alifanya hivyo kwa kutanguliza tamaa ya Pesa mbele,
kila mtu anatamaa ya Pesa

Sawa Kamati Kuu imeamua kuwavua uanachama na nimeona watu wengi wakimsimanga halima,

Tusimhukumu mtu kwa kosa moja hebu tuangalie ni mangapi amefanya mema

Halima na wenzako mlichokifanya, mpaka sasa sijajua Halima umepatwa na nini dadaangu?

Lakini sawa tu siku hazilingani,

Nawasihi wanachadema tusimnange sana Halima

Nimeumia sana kumpoteza Halima CHADEMA, lakini sitathubutu kukulaumu kwani ni mambo mengi sana umefanya kukijenga chama

Umekua nasi bega kwa bega mpaka siku ya jana

Usifadhaike sana CHADEMA tunakupenda sana Halima

Hata kwenye mazungumzo ya Mbowe alionyesha ameumia sana

we love you
Hana mpango wowote.! uzuri wa mtu siku zote subiri mwisho wake., Halima na wale wenzake walikuwa nyoka ambao wakiitafuna chadema miaka nenda miaka rudi, kama aliweza kukisaliti chama katika level yake aliyokuwa physically basi ujuwe ndio kiwango cha unafiki aliokuwa nao huko ndani ya chadema muda wote.

Kama wampenda halima kama halima nenda kapose kwao., Lakini halima kama mwanasiasa ni mnafiki muda mrefu sana, kigogo alishaandika mara nyingi kwenye twitter yk.,
 
I am sorry kusema hivi lakini wanawake sio watu wa kuwaamini sana.

People are very weak for money but women are easily manipulated by money.

I am sorry one more time.
unapozungumzia wanawake kumbuka na hawa

silinde
lijulkali
mashinji
mollel
mtolea
nk
wote hao walikua ni ke?
 
Ni kweli Halima alifanya kosa na ni bayana alifanya hivyo kwa kutanguliza tamaa ya Pesa mbele,
kila mtu anatamaa ya Pesa

Sawa Kamati Kuu imeamua kuwavua uanachama na nimeona watu wengi wakimsimanga halima,

Tusimhukumu mtu kwa kosa moja hebu tuangalie ni mangapi amefanya mema

Halima na wenzako mlichokifanya, mpaka sasa sijajua Halima umepatwa na nini dadaangu?

Lakini sawa tu siku hazilingani,

Nawasihi wanachadema tusimnange sana Halima

Nimeumia sana kumpoteza Halima CHADEMA, lakini sitathubutu kukulaumu kwani ni mambo mengi sana umefanya kukijenga chama

Umekua nasi bega kwa bega mpaka siku ya jana

Usifadhaike sana CHADEMA tunakupenda sana Halima

Hata kwenye mazungumzo ya Mbowe alionyesha ameumia sana

we love you
Acha uongo we ni fisiemu
 
Sisi tulimpenda kwa kusimamia misingi, Kitendo Cha kukengeuka tumeshampuuza.Yeye alishindwa kukomaa miaka mitano tu kitaa?
 
Lakini mkuu lazima ukubaliane na mimi kua ameshiriki pakubwa sana kwenye kujenga chama
Hata chama nacho kilimjenga akawa maarufu sana, nafasi ya ubunge kumbuka vipindi vingapi?. Yeye pia anahitajika kukishukuru chama kwa kumpa nafasi na ushirikiano tatizo mswahili anaweza aisione hayo akawa kama wale yule wa kigoma amechuja!
 
Ni kweli Halima alifanya kosa na ni bayana alifanya hivyo kwa kutanguliza tamaa ya Pesa mbele,
kila mtu anatamaa ya Pesa

Sawa Kamati Kuu imeamua kuwavua uanachama na nimeona watu wengi wakimsimanga halima,

Tusimhukumu mtu kwa kosa moja hebu tuangalie ni mangapi amefanya mema

Halima na wenzako mlichokifanya, mpaka sasa sijajua Halima umepatwa na nini dadaangu?

Lakini sawa tu siku hazilingani,

Nawasihi wanachadema tusimnange sana Halima

Nimeumia sana kumpoteza Halima CHADEMA, lakini sitathubutu kukulaumu kwani ni mambo mengi sana umefanya kukijenga chama

Umekua nasi bega kwa bega mpaka siku ya jana

Usifadhaike sana CHADEMA tunakupenda sana Halima

Hata kwenye mazungumzo ya Mbowe alionyesha ameumia sana

we love you
Kanywe naye chai.
 
Back
Top Bottom