Mimi ni mwanabaiolojia na huu hapa ndio uthibitisho wa uhalali wa Mungu(2)

Mungu ni energy' energy can not be created no destroy
Sawa ukiamua kuishia hapo. Lakini swali lipo hapo; Je? hiyo energy ina akili. Je? iko na Malengo kusudi? Je inajiendesha na kuendesha?

Mi niliishia kwamba Yeye ni entity fulani iliyo kama idea na inayotokeza ideas zinazocontrol energies inayocontrol matter etc etc
 
Ukisema ina malengo na akili tayari ushaonyesha lower level za maumbile,hizo ulizotaja ni sifa za maumbile ya nje ambazo ni kiwango cha chini sna,malengo hayawezi kuleta vitu viwe kwenye balance,ndo maana unaweza kujiuliza kama ana malengo mazuri kwa nn alimuumba Shetan au kwann tunateseka? Malengo akili na sifa nyingne haviwezi fanya vitu viwe kwenye Balance hizo ni sifa za maumbile ya nje tu.
 
Kivipi ss? mtandao unanchanganya ujue. alafu sio mtandao ni nyinyi na habari zenu zisizothibitika.
Dini inavyomweleza ndo inakosa uthibitisho inavitu vingi ni story tu za kale, hadithi za sungura na fisi ila ukweli wa mambo upo Kwenye universe memory
 
Sawa ukiamua kuishia hapo. Lakini swali lipo hapo; Je? hiyo energy ina akili. Je? iko na Malengo kusudi? Je inajiendesha na kuendesha?

Mi niliishia kwamba Yeye ni entity fulani iliyo kama idea na inayotokeza ideas zinazocontrol energies inayocontrol matter etc etc
Ukisema ni kitu fulani kilicho nje kinacho control kutokea nje tayari ushaenda kwenye kiwango cha chini cha maumbile ya nje ,akili yako inakulazisha ku note kama mfalme fulani alie keti sehemu moja anaongoza kwa njee tu,apo tayari ushapunguza sifa yake kuwepo kila mahali,hiyo supernatural power kila sekunde na kila mda inaendelea na kazi zake za kuumba na kubance nature ili maisha yaendelee.
 
Kivipi ss? mtandao unanchanganya ujue. alafu sio mtandao ni nyinyi na habari zenu zisizothibitika.
Vitabu vya din vingekua vimeeleza ukweli leo hii habari ya kudhibitisha MUNGU yupo isingekua stori humu ,vimepotosha ukwel kabisa ili uwe unamtafuta Mungu mahali fulani wataki tayari yupo ndani yako na kwa kila kitu na kila sehemu , ili utawalike kirahisi
 
Ukisema ina malengo na akili tayari ushaonyesha lower level za maumbile,hizo ulizotaja ni sifa za maumbile ya nje ambazo ni kiwango cha chini sna,malengo hayawezi kuleta vitu viwe kwenye balance,ndo maana unaweza kujiuliza kama ana malengo mazuri kwa nn alimuumba Shetan au kwann tunateseka? Malengo akili na sifa nyingne haviwezi fanya vitu viwe kwenye Balance hizo ni sifa za maumbile ya nje tu.
Ni kwamba ina malengo na ndio lengo jenyewe na kila kitu ni lengo, ina akili na ndio akili yenyewe na kila kitu ni akili, ina wazo na ndio wazo jenyewe na kila kitu ni wazo, au hiyo yako ya energy tutasema ina energy na ndio energy yenyewe.

Kwa hiyo ile picha yetu kwa ujumla ni almost the same kwa kifupi hafanani na chochote na hata hivi tulivyoamua tunavitumia tu kama modeli za kuelewa katika lugha yetu. Na ndio maana kila mwenye pichapicha utakuta amechagua kutumia kitu fulani kisichotafsirika kikakamilika.
 
Asante jibu langu nimelipata.
Hiyo Hiyo energy ikishachange Kwenye form nyingne tena ndo inazaa uelwaa,akili, busara ,hekima na maarifa yeyote unayoyaona na usiyo yaona,na hizo unazo ita idea,idea haiwezi kuwa manifested in physical form kama ndan yake Hiyo idea hakuna energy, Energy ndo the last creater wa maumbile yote yanayoonekana nayasiyo onekana.
 
Hii kitu utaijua tu ukiwa true seeker wa meditation of light and sound , hiyo elimu yote ipo Kwenye unirversal memory
Na energy hyo huwa na frequency zake tofauti kulingana na maumbile husika na sababu maalumu ila zote huwa Kwenye Balance ili kuleta uwiano sahihi Kwenye hayo maumbile.
 
Na energy hyo huwa na frequency zake tofauti kulingana na maumbile husika na sababu maalumu ila zote huwa Kwenye Balance ili kuleta uwiano sahihi Kwenye hayo maumbile.

Seems it has consciousness, kama inaweza kubalance vitu
 
Universal memory.! U mean Akashik record.?
Ndicho ninacho maanisha ila kwenye akashik record kuna past,present and future ila kwenye universal memory hakuna future kuna sasa , coz future ina pimwa na time na time ni illusion tu.( man made kulingana na majira)
 
Future ni illusion tu, ukisema mwakani nitanunua Gar ni illusion , gari unanunua unapo nunua gari sasa.
Very craziness state.! Unapokuwa hivyo ni rahisi kuonekana una matatizo fulani ya akili

Kuishi katika hali hiyo ni kuwa mfu/hai sijui kitaalam inaitwajwe hii
 
Very craziness state.! Unapokuwa hivyo ni rahisi kuonekana una matatizo fulani ya akili

Kuishi katika hali hiyo ni kuwa mfu/hai sijui kitaalam inaitwajwe hii
Pia ni bora kuudanganya ubongo ili uishi kwa maigizo tu , sex ni kwaajili ya kuzaliana tu , uwo utamu unao hisi Kwenye sex ni illusion tu, ipo Kwenye ubongo zaidi ndo maana ukiwa unasex akikuambia nameza ARV utamu wote kwisha, sex kwa ajil ya kuzaliana utamu unao kichwani .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom