Mimi ni mwanabaiolojia na huu hapa ndio uthibitisho wa uhalali wa Mungu(2)

Mfano 2.a Yule atakayeamini kuwa ukweli ni tunaishi katika mazingira ya hatari ya, wizi, uonevu, magonjwa na vita ni vitu vya maisha ya kawaida na vingi kuliko hali ya amani basi kila kitu chake kitaitikia kwa kujiweka mkao wa vita mbeleni. Atajikusanyia bima ya rasilimali nyingi zaidi physically. Na kimwili atajiwekea bima ya rasilimali muhimu kama mafuta[nishati] na protini kujiandaa na vita inayokuja.
Na ikitokea akaamini kuwa sio hatari tu bali tayari tumo katika vita, iwe ni kuchumi, kiroho, kisaikolojia, familia, kazini etc. Basi tutashuhudia akiwa na nishati ya kutosha mwilini ili apambane sasa hivi. Namaanisha sukari. Mfano wake ni bosi wa wastani[CEO] anayeongoza kampuni kubwa yenye faida kubwa na hatari kubwa zaidi ya kufilisika ni kwa nn wanakuwa na vitambi/sukari?

2.b. Kinyume chake atakuwa ni jamaa anayeamini kwamba tunaishi na watu wa amani na upendo zaidi kwamba wengi ni wa upendo kuliko wa vita na mimi. Basi huyu mwamba hata hajiandai na rasilimali zozote za kimali binafsi physically. Na hasahasa kimwili hajiandai kwa kujirundikia mafuta[nishati] wala maprotini mwilini. Mfano ni rastamani wa wastani mwenye imani ya kirasta kwa nini wanakuwaga wembamba?

Mfano wa kwanza tuachane nao kutokana na asili yake utatusumbua. Naomba muuchallenge huu mfano wa pili. Ila nahisi hapa naharibu uzi ngoja nikipata muda niuanzishie uzi wake. Ila nipeni challenge ili nijipange vizuri.

Mfano wa kwanza ni halisi

Mfano wa pili unaishi kwenye vichwa tu lakini kiuhalisia haupo

Vihatarishi ni zao la asili na pia ni matokeo, wanaoamini katika hali ulizotaja huwa wanajizatiti/wanajinusuru vipi na vihatarishi? Mfano: Wanyama wakali au maradhi

Wembamba wao ni matokeo ya mfumo wa maisha waliochagua kuanzia milo, matumizi ya marijuana na ...

Ama kuhusu ufugaji wa nywele kuathiri umbile la mtu sifahamu kama bailojia imethibitisha hilo
 
Ung'amuzi: Mtu afikiriavyo/awazavyo/aaminivyo huumba hali ambazo humtokea akaziishi katika hali ya uhai na ufu

Kama maisha yetu yanaratibiwa na fikra/yakini/mawazo yetu tu "no divinity" hilo linawezekana, japo naona ka-confliction ndani ya hiyo nadharia tete

Mangapi katika uhai wetu hufikiriwa/huwazwa/huaminiwa na huwa hayawi/hayatokei? Kwa mfano: Wapo wanaoamini hamna kufa, je hilo huwafanya wasife? Fikiri mifano mingine utaona upungufu
Asante kwa kuchukua muda kulifanyia kazi.

Kweli kutokana na kwamba sio sisi pekee tunaoamua ndiyo maana ya kani zote zinahusika pamoja nasi ndio maana matokeo sio asilimia mia kama tulivyowaza. Kuna wengine, kuna kanuni/kani na divinity wote tunashirikiana kuleta matokeo na mtu binafsi wote wanahusika.
 
Mfano wa kwanza ni halisi

Mfano wa pili unaishi kwenye vichwa tu lakini kiuhalisia haupo

Vihatarishi ni zao la asili na pia ni matokeo, wanaoamini katika hali ulizotaja huwa wanajizatiti/wanajinusuru vipi na vihatarishi? Mfano: Wanyama wakali au maradhi

Wembamba wao ni matokeo ya mfumo wa maisha waliochagua kuanzia milo, matumizi ya marijuana na ...

Ama kuhusu ufugaji wa nywele kuathiri umbile la mtu sifahamu kama bailojia imethibitisha hilo
Waioamini katika mazingira ya hatari kwa baadae kidogo ndio hao nimechukulia wanajizatiti kimwili kujikusanyia akiba ya kutosha[mafuta]. Na kama wakiamini hatari ipo sasa hivi wanajaza nishati damuni[sukari]

Kuhusu mfano wa pili hata wewe umeona kuna uhusiano hadi watu wakaanza kuhusianisha nywele na kukonda! Ina maana kweli wameona kitu. Association.

Hata hivyo nitakuomba uendelee kuchunguza kimyakimya kwa marafiki zako au watu maarufu kuhusianisha filosofia zao za maisha na maumbo ya miili yao. Maana sababu nyingine zina tafiti za kutosha ila hili la 'imani' sidhani kama lilishatiliwa maanani

Kama kuongezea moja ya athari ya marijuana: inamfanya mvutaji ajione mkubwa kuliko tatizo lolote anakuwa anajiamini hahitaji chochote. Pia hata ari yao ya kutafuta mali nyingi sanaa samtaimu inapoteaga [amotivation syndrome]. Na kuna kitu kimoja paradoxical! bhangi inaongeza hamu ya kula sana[munchies] lakini hilo halipelekei kuongezeka uzito bali kupungua! strange!
 
Okay
 
Nidhibitishie ndio kitu gani?

Thibitisha Mungu yupo
Tuwe fair kidogo bro;

Jiangalie wewe ulivyo, angalia ugumu wa seli za mwilini mwako kuthibitishiana kwamba wewe upo. Angalia ambavyo wewe upo, na upo ndani ya kila seli yako, jumla ya seli na hata zaidi ya hizo seli. Mfano nguo ulizovaa, kucha, nywele hata gari yako ukiwa unaendesha [ndo maana utaskia mtu anasema 'kagonga taa yangu ya mbele, nikashuka kumuuliza kwa nini umenigonga? kapaniki!']
Halafu hamisha fairness hiyohiyo kwetu, angalia ugumu wa sisi wanadamu kuthibitishiana kwamba Mungu yupo. Angalia ambavyo Mungu yupo ndani ya kila kitu, katika jumla ya kila kitu na hata zaidi ya kila kitu. Mfano katika mawe milima, sayari, jua universe na zaidi.

Ila mwisho mwishoni nadhani haimati sana unaamini au hauamini yupo alimradi tu ufanye kile anachokipenda. Mungu anapenda tutumikiane, tupendane vitu tunavyovifanya viwe na kanuni ya kidhahabu. Atakayejitoa zaidi, ndiyo mzuri zaidi machoni pake. Unaweza kuta mwishoni atheist anayeiishi hiyo[golden rule na hata akajitolea zaidi maishani mwake] ana maisha mazuri sasa na baadae kuliko atakayeimba nyimbo zote za kusifu halafu asitende kwa wema.

Tujiulize mfano wewe [sisi]; Je nani angependa miguu yake itenge siku moja isifanye kazi bali ikae kukusifia wewe mwenye nayo? Ikuimbie wee! Ikushukuru kuiongoza na kuilisha na kuiumba etc? Au nani angependa mikono yake kila baada ya masaa matatu/matano iache kufanya chochote imuabudu yeye mtu? Moyo je maana wenyewe hata kama tunalala usiku huwa hauachi kuwatumikia wengine na nadhani hakuna binadamu asiyeupenda moyo wake.......mtumishi wa wote ndiye mkuu kuliko wote hata katika mambo ya kiroho.

So mwisho mwishoni wema na matendo mema ni jambo la msingi zaidi, shika sheria unavyotaka lakini sheria hizo zisipingane na kutumikiana eti usitoe msaada fulani kisa ni siku ya kupumzika, au utajichafua, au ni muda wa kusali. Big no kwa Mungu. Au umtenge mtu fulani umuumize hata kama ni otherwise a good person kisa tu amesema hakuna Mungu au mungu wako hamtaki. Big NO!
 
Hivi ulivyoviandika hapa ni kwa namna gani unaweza kuvihusisha na swala la uwepo wa Mungu?
 
Uthibitisho wa uwepo ni suala tata kama nilivyosema kwenye aya ya kwanza. Haukuwa ushahidi zaidi ulikuwa ukumbusho kwamba tusizisahau basics, the primary thing. Simaanishi tuache kuabudu. La. Ila tujue pia na vitendo hasaa tuvipasavyo kutenda kutokana na imani hiyo.

Isitokee mtu akajiona sahihi zaidi kisa anamuabudu Mungu kwa namna fulani, maana tazama picha ya Mungu ina sura tofautitofauti sana vichwani mwa watu hata walio katika dini moja. I respect that. Onyo tu ni je? namna mtu anavyomuamini Mungu inampelekea kutenda vipi kwa wananchi wenzake[fellow global citizen]? Je inaleta afya au inaharibu ustaarabu wa dunia kwa ujumla?
 
Vipi kama utata huo unatokana na habari za kuwepo kwake kuwa ni fictional character kama spiderman na ndio maana inakuwa ngumu kuthibitisha yupo?
 
Trust mzee mi nahisi ndio tatizo hapa. Ili useme ni fiksi inabidi uanze kwanza kuzitilia shaka fact zote zinazohusishwa na Mungu. Kwa kusema hivyo ni unawatilia shaka watu wote wenye kukuletea maarifa kuhusu Mungu huwaamini chochote hata fact huziamini.

Ndo maana mwishoni unahisi wanaleta 'a fictional character'. Shida ni kwamba kuna kagepu fulani kutoka fact na uhalisia wa Mungu ambako kanahitaji kidaraja cha imani. Imani[faith/belief] ni rahisi sana kuijenga ukiwa ulishaweza kutrust baadhi ya fact zilizopo. Bila hivyo ni kazi sana.

Mi ilinisaidia kujua baiolojia maana niliweza kutrust fact zilizopo, nimeona majani na mifumo yake, nimeziona/soma seli na mwili kwa ujumla. Mchakato kama photosynthesis uliniambia kwa sauti imara kabisa kwamba it is not about energy/difference, but ni kwa ajili lengo la kutengeneza chakula, kusapoti uhai lifanikishwe. Purpose is the king.

Unajua kuna watu wamebahatika/tumebahatika kuzaliwa na kuona mifano/wazazi/wakubwa wakweli na wa kuaminika. Unajua kabisa akisema nitaleta zawadi, nitakununulia nguo anamaanisha na ataleta, hata akishindwa tunajua kabisa imeshindikana hivi sasa wala sio kwamba alitudanganya toka mwanzo. Na pia wapo ambao kwa bahati mbaya wazazi wao ndio walikuwa wa kwanza kuwaambia 'akija fulani mwambieni sipo' 'mwanangu dunia hii usimuamini mtu yeyote kabisa'. Na mzazi anakuwa hajawahi kuamini hata neno moja toka kwa mtoto wala mtoto hajawahi kuamini lolote. Hawa wasipoamua kubadilika maana inawezekana wakiamua...........

Sorry nimetype sana ila ni vile tu nimehisi labda tatizo la atheist ni la kisaikolojia pia. Atheist wengi utakuta ni skeptics ni fact. Kwa nini? Kwa nini asiweze kuamini bila ushahidi wa dhahiri? Sawa kataa kama ukiona ushahidi wa dhahiri wa kupinga. Lakini badala ya kuikataa concept nzima ---- kataa tu kile kipande kibovu halafu kizuri endelea nacho
 
Nahisi transition ya hisia zinazotawala na maendeleo kiimani zipo katika mpangilio wa: Confused, hadi Woga[fear] halafu mwisho Trust aminia na then Love yaani upendo.

Atheists wapo steji ambayo uoga hawana, hawatawaliwi na uoga kabisa halafu pia trust hawana hawajaipata bado! kwa hiyo hawajafikia ule upendo kwa Mungu.

Kama kawaida yangu hii ni muendelezo wa nadharia, labda badala ya kuhangaika kulazimisha imani tusaidiane kutambua tatizo lililopo
 
Uthibitisho ni mimi binafsi tu nmejitambua, mimi ni nan nikiondoa majina yote kazi zote rangi yangu na identity zote nizopata huku duniani, huu ni uthibitisho sahihi kabsa , ila mimi kukudhibitishia wewe unatakiwa uamke kwanza ndio utaelewa, sasa wewe umelala ndani yako unaoperate kiakili zaidi itakua ni ngumu japo naweza kukudhibitishia ukiamka.
28C3EE3F-6AC4-48B4-8F24-D075F745C5BE.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom