KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,679
- 8,866
Nimatumaini yangu kuwa hamjambo Kama nilivyosema ni Mwana CCM
Ila naomba kuwauliza jambo moja.Katika chama chetu kina viongozi waadrifu ila pia kuna viongozi si waadilifu sasa hawa ndio wanaoifanya CCM inachukiwa kila kona kwani hawa ndo utia doa katika chama chetu adhimu katika hawa ambao si waadilifu wapo wabunge,viongozinwa serikali kuu kama DC,RPC, RC, Waziri.
Kwa hawa ndio wawakilishi wa Rais ngazi ya chini.
Sasa nichukue nafasi hii kukuomba utwambie ninani anatuletea sifa mbaya katika chama chetu?.
Hii itatusaidia kuwa na chama chhenye viongozi waadilifu kwani hiki chama tangu ukombozi wa kusini mwa afrika kimewapika viongozi waadilifu hivyo lazima tujenge imani ndani na nje ya nchi.