Mimi ni mwalimu wa Biology na Chemistry ngazi ya Diploma ya elimu ya sekondari. Natafuta kazi

Malipo

Senior Member
Sep 30, 2019
108
126
Mimi ni mwalimu wa Biology na Chemistry ngazi ya Diploma ya elimu ya sekondari kutoka Chuo cha Ualimu Klerruu-Iringa.

Pia nina ujuzi wa ICT in education. Ni mwalimu ujuzi na uzoefu wa kutosha.

Natafuta kazi ya kufundisha masomo tajwa hapo juu na ICT. Kwa anayetamani nifanye nae kazi ili kufahamu zaidi weledi wangu na uwezo wangu wa kutenda kazi, karibu PM.
 
Yaani wewe ni Mwl wa Masomo ma3! Chemistry, Biology na ICT? Master of all trades, none of all!
Mimi ni mwalimu wa Biology na Chemistry ngazi ya Diploma ya elimu ya sekondari kutoka chuo cha ualimu Klerruu -Iringa. Pia nna ujuzi wa ICT in education. Ni mwalimu ujuzi na uzoefu wa kutosha. Natafuta kazi ya kufundisha masomo tajwa hapo juu na ICT. Kwa anaetamani nifanye nae kazi ili kufahamu zaidi weredi wangu na uwezo wangu wa kutenda kazi karibu PM.
 
Back
Top Bottom