Mimi ni mwajiriwa wa serikali; Sheria inasemaje nikitaka kugombea udiwani, ubunge.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mimi ni mwajiriwa wa serikali; Sheria inasemaje nikitaka kugombea udiwani, ubunge..

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tuko, Aug 26, 2010.

 1. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #1
  Aug 26, 2010
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Naomba wanajamvi walio na uelewa wa kisheria, kama mimi ni mwajiriwa wa serikali na nataka kugombea nafasi ya kisiasa, kama uenyekiti wa mtaa, udiwani, ubunge au uraisi, sheria inasemaje. Je, nitalazimika kuacha kazi? Na kama kuna kuacha kazi, inaanzia wapi, wakati tu wa kura za maoni, wakati wa kugombea au nikishashinda? Naomba mwenye ujuvi wa hilo anijulishe...
   
 2. D

  Dick JF-Expert Member

  #2
  Aug 26, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 477
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hauko serious, muda huuuuuuuuu!
   
Loading...