Mimi ni mvivu kweli, naombeni ushauri

Ndio nyie mnajidai wasomi kumbe wavivu aise ngoja nipige simu kwa babu anitafutie mke huko bush
 
Tafuta mwanaume shababi haswaaa, a real man akunyooshe vizuri ukawa kwa mstari uvivu utaacha. Hlf watu wasioactive wakati mwingine hata mazoezi na physical activity hamfanyi mnaishia kuwa manyama uzembe hence uvivu mara mbili.

Hakuna kinachoshindikana, ukiamua kujikwamua unaweza
 
Kuna bidada nilipanga(vyumba tofauti) nae mahal flan mi nikiwa chuo yeye alikuwa ameajiriwa aise huyu dada alikuwa mchafu lakin akitoka perfume alvyopiga makeup
Kuna siku akaniomba nimrekebishie Tv yake nilivyoingia ndan tu nilipiga chafy vingin ni aibu kwa mwanamke na nilikuwa namtaman nilivyo onavile hisia zilikata
 
Kuna bidada nilipanga nae mahal flan mi nikiwa chuo yeye alikuwa ameajiriwa aise huyu dada alikuwa mchafu lakin akitoka perfume alvyopiga makeup
Kuna siku akaniomba nimrekebishie Tv yake nilivyoingia ndan tu nilipiga chafy vingin ni aibu kwa mwanamke na nilikuwa namtaman nilivyo onavile hisia zilikata
asilimia 90% ya wadada wanaoishi wenyewe kwao kuchafu kunakuwa kusafi wkend tu labda awe na dada wa kazi
 
Duuuh wakuu mmesikia lakini? Sio kesho mnakuja ohoo mke wangu hivi mke wangu vile.

Ushauli wangu tafuta mwanaume anaekupenda ili awe house boy wako, lasivyo ni mtihani mwingine kwenye somo lile lile la MAISHA.
 
hali hio hata mi ninayo na imeniathiri kwa sababu ni last born ila kuhusu time nimejifunza kama natakiwa kufika sehemu saa 2 nitajitahidi niweke alam ya saa kumi na mbili kasoro itani disturb alarm mpaka saa moja kasoro nitaamka na nitawahi niendako kuhusu kuvaa nguo na kuvaa nina tatizo hilo pia so huwa naaandaa jana yake kabisaa baada ya kuridhika na chaguo lake hii inasaidia kuokoa muda

Aisee, nadhani sasa hili litangazwe ni tatizo la kitaifa sasa..... Bora wewe umeshajua namna ya kukabiliana nalo.
 
Wadau nina shida moja katika maisha yangu. Mimi ni mvivu halafu huwa natake easy kila kitu, kitu ambacho kinanisababishia hasara nyingi maishani.

Kuhusu darasani nina akili za kutosha toka primary top ten ilikuwa hainikosi hata chuo sikuwahi kupata supp, hata kuna wakati somo moja lililamba robo tatu ya darasa, tena nilikuwa nimelazwa, nikatoka hospitali asubuhi nikaingia saa tisa kwenye paper nikapata zangu B. Niliosoma nao humu wanaweza kunikumbuka.

Sasa tatizo linakuja kwenye maisha, mimi ni mvivu. Kuamka nitashtuka tu saa kumi na moja najiongeza kidogo kidogo hadi inafika saa moja najiandaa kivivuvivu hivo hivo. Mara nivae nguo hii mara nione sijapendeza nivue hadi saa mbili natoka nduki kwenda job maana sio mbali, kwahiyo hapo naacha chumba kikiwa rafu maana muda wa kupanga na kutandika kitanda unakuwa hamna hadi nirudi jioni.

Nikialikwa kwenye party najiandaa kivivu hadi wakati mwingine naacha tu maana muda unakuwa hamna tena sherehe imeisha.

Nikienda benk sihesabu hela, jana nimeibiwa elf 10 duka la kubadilishia fedha maana sikuhesabu, kwenye daladala nilipewa hela feki hivi hivi maana hata sikuangalia.

Naombeni ushauri nifanyeje maana mimi mtu mzima nahitaji kuwa na familia na kuwa mama bora. Ndio maana nilitamani kuadopt mtoto ili niwe busy nae, haya maisha ya kuishi peke yangu yananilemaza jamani nifanyeje?

Natamani kuwa active. Hapa nimeandika hivi nimechoka kweli yaani.
Yaani hata mi nmechoka asee....
 
Back
Top Bottom