Mimi ni muathirika wa UKIMWI

Unywe dawa mpaka vidudu kwenye mzunguko wa damu visiwe detected
sawa ila kuwa undetected inategemeana na aina ya kipimo unachotumia kujua wingi wa virusi(viral load), kuna vingine vinadetect mwisho 50,yaan chini ya hapo ningumu kukupa majibu au vingine mpaka 20 kwa nchi zilizo endelea kama canada sijajua bongo..ikoje hii hali mkuu
 
Ooooh, sasa mbona ni balaa,na hawa nasikiaga mara wanapimwa mwanaume+ na mwanamke-

Hii huwa inakuwaje kama ukimwagiwa sperm tu mchezo kwisha,hii nadharia sijui inakaaje
Ni mpaka receptors zipokee virus sasa ukiwa kwenye prep receptors haziwezi kupokea.
 
Pole sanaa sana tena sana, sasa umefikia wapi Protein , nikuliwaze tuliwazane tupate hata mtoto jamenii
Note .mi sina HIV + sa sijui itakuaje
 
Ni mpaka receptors zipokee virus sasa ukiwa kwenye prep receptors haziwezi kupokea.
Mkuu kwa kuwa wewe utakuwa na elimu na hii kitu usichoke kwa maswali yangu ndo kutoana tongo tongo kwenyewe huko.

Hizo receptors zinafanyaje kazi mkuu na prep inasaidiaje kutopata maambukizi kirahisi ,kama utakuwa na nafasi hebu fafanua kidogo.

Pili,mwanaume na mwanamke ni yupi aliye na nafasi kubwa ya kupata maambukizi wakati wa tendo lenyewe endapo mmoja wao atakuwa na maambukizi tayar?
 
Prep ni anti virology kwahiyo zinazuia receptors kupokea virus kwenye cell
 
Back
Top Bottom