Mimi ni mtumishi wa umma, kuna uwezekano wa kusoma kozi tofauti na kada niliyopo?

Mi nilipata ruhusa ya kwenda kusoma UDSM ila nilipenda sanaa masomo ya biashara, hivyo nikachepuka kwenda chuo kengine.

1. Nilikuwa sipokei simu kirahisi, na ukipita ukiuliza "uko wapi?" Sijibu..
2. Nilikua msiri sanaa, hata chuoni hawakujua kuwa mimi ni inservice.
3. Kazini walikuja kushtuka narudisha cheti cha masters na bachelor, badala ya bachelor pekee yake.

Mkuu wa Idara alishangaa sanaa, ila ndio hivyo nilikua nishampiga tobooo.

#YNWA
Mkuu vp ukifanikiwa kupata re-categorization baada ya kurudi?
 
Alishajibu thread nyingine huko nyuma alifanikiwa huo mchakato.
Wakuu inawezekana kwa mtu ambae n mwalimu

Let's say IT and Mathematics

Akajiendeleza na masters ya computer science au IT anaweza kuomba kuhamia Halmashauri idara ya Tehama akakubaliwa ? Au anaweza tolewa kufundisha na kupelekwa Halmashauri kama IT mwenye uelewa
 
Wakuu inawezekana kwa mtu ambae n mwalimu

Let's say IT and Mathematics

Akajiendeleza na masters ya computer science au IT anaweza kuomba kuhamia Halmashauri idara ya Tehama akakubaliwa ? Au anaweza tolewa kufundisha na kupelekwa Halmashauri kama IT mwenye uelewa
Haiwezekani, kama bachelor yako ni Education in IT and Mathematics basi lazima usome bachelor upya ama diploma isiyo ya education. Ila ungekuwa na diploma ya IT and Mathematics then ungeweza kusoma bachelor degree in information systems or the likes and then ukaomba recategorization.

Kumbuka entry qualification kwa recategorization zote ni proper diploma or degree programme and not a graduate degree
 
Back
Top Bottom