Mimi ni Mtanzania, nafanya biashara ya dawa za asili(herbs),nahitaji wenyeji Nairobi

Hussein J Mahenga

JF-Expert Member
Mar 5, 2012
745
633
Wadau,

Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 24,ni mfanya biashara ya dawa asilia(herbs).

Naombeni wadau kama kuna Mkenya yeyote ana miliki lab ya kutengeneza vidonge(pills) kwa dawa hizi,ama mtu mwingine yeyote Nairobi anayefahamu wapi zinahitajika,ani pm ili tusaidiane kwa hili.

Ninazo dawa za maradhi ya aina mbalimbali na zimesagwa kuwa unga laini kabisa.

Mawasiliano,
+255 759 947 397
email;sainthussein@hotmail.com

Nawasilisha,
 
Tatizo ni kuwa waganga wa kiasili kutoka TZ huwa mara mingi ni wachawi na wapiga ramli. Hata hivyo unaweza kutafuta 'Makini herbal clinic" kwenye mtandao. Clinic hiyo inamilikiwa na mama wake mwimbaji Prezzo
 
Mkuu,mimi sipigi ramli hata kidogo,nauza dawa kama dawa. Hiyo clinic iko Nairobi? Poa ngoja niigoogle
 
Hebu pia tafuta Murugu herbal clinic. Hao wako mpaka na labs za kuresearch hizo madawa miti shamba...
 
Tatizo ni kuwa waganga wa kiasili kutoka TZ huwa mara mingi ni wachawi na wapiga ramli. Hata hivyo unaweza kutafuta 'Makini herbal clinic" kwenye mtandao. Clinic hiyo inamilikiwa na mama wake mwimbaji Prezzo
Usikariri kijana!
 
Sio wote wapiga ramli, warogaji wala waaguaji.

Mtu na karama yake tu ya kutengeneza dawa kwa kutumia mitishamba.

Back
Top Bottom