Mimi ni mtaalam wa garden, natafuta tenda

Mhdiwani

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
650
712
Habari zenu wapendwa najitokeza mbele yenu kutafuta tenda ya kutengeneza garden ya maua hivyo kwa yeyote ambae atakua natenda hio awasiliane na mimi 0769 269630 naamini utaipenda garden yako
Asanten
 
unapatikana wapi na bei zako ziko vipi? toa range..na usisahau picha ya kazi zako...
 
Habari zenu wapendwa najitokeza mbele yenu kutafuta tenda ya kutengeneza garden ya maua hivyo kwa yeyote ambae atakua natenda hio awasiliane na mimi 0769 269630 naamini utaipenda garden yako
Asanten
Nitumie CV na portifoli yako hapa... yusoufb9@gmail.com
Nafanya kazi za landscaping... Tunaweza kufanya Kazi pamoja if you're good..
 
Mimi nipo arusha japo kwa sasa nipo tanga kuna kazi nimekuja kuingalia
 
Bei zangu inategemea na mteja anataka garden ya namna gani, ,,mf: unanaweza kutengeneza garden hlf baada ya kumaliza ukamkabidhi au mwenginne anataka mpk ukoka ukue na uukate angalau mara moja ndo umkabidhi kwaio hapo bei inakua tofauti
 
Aina hizi za garden ndo moja ya aina ya garden bora tofauti na zile za kawaida ambazo ni ukoka na maua pembeni ,,karibuni sana
 

Attachments

  • 1458847798396.jpg
    1458847798396.jpg
    12.5 KB · Views: 325
  • 1458847824018.jpg
    1458847824018.jpg
    227.2 KB · Views: 246
Moja ya garden bora zenye kupendeza
 

Attachments

  • 1458848456181.jpg
    1458848456181.jpg
    227.2 KB · Views: 164
Back
Top Bottom