Mimi ni Msanii, Kioo cha Jamii by Maria Suriano

Teknocrat

JF-Expert Member
Oct 20, 2018
3,804
8,422
Hii ni kazi ya Uandishi wa Maria Suriano wakati yuko field work nchini Tanzania mwaka 2007, hizi ni enzi za "DarHotwire" kama mtandao wa jamii wakati JF ndio imeeanza.

Angalia attachment (kiambatisho) cha PDF

1624921481216.png

Baadhi ya dondoo ya mkusanyiko wa kazi ya Maria Suriano

Rapper Kalapina complained that “wasanii wengi nchini wanaimba nyimbo za ngono na siyo mapenzi kama wanavyodai, hivyo wanachefua [sic] jamii na kuharibu kizazi kipya. Nyimbo za mapenzi waliimba kina Marijani Rajabu miaka hiyo.”

Mbaraka from Sinza, criticised Bwana Misosi for his meaningless and frivolous songs:
“Nyimbo zake hazina ujumbe, hazielimishi jamii. Nitamgusa nani? Nimewasaidia watu gani?”

Albert Mangwair (Mangwea or Ngwea) says: “ikiwezekana apandishe hata majani isiwe anaboreka anapokuwa nami Ana-kata viuno aliyefunzwa unyagoni, ili tunapokuwa ndani anipe burudani.”

Lyrics must also express something about the living conditions of young urban youths, following the popular motto:
“huwezi kusema mimi nina benzi wakati hata baiskeli huna!” (‘you cannot say: ‘I have a big car’ while you do not even have a bicy-cle!’).

In Darubini Kali, Afande Sele raps:
“Nasema rap ni ukweli mtupu, rap kiasili, rap si kwimba uongo, kama siasa za Bongo, useme kwenu una benz, wakati jumba la udongo. Lugha ngeni za nini kwenye muziki wa nyumbani, wakati Bongo Fleva inapendwa zaidi uswahilini?”
 

Attachments

  • msanii.pdf
    333.1 KB · Views: 10
Back
Top Bottom