Mimi ni Mkristo ila mabinti wa Kiislam wanayajua mapenzi, kumuacha huyu binti nimeshindwa

waislam wasiogawa iyo kitu ni wale wa uarabuni huko ambako nako sio kwamba hawapendi kugawa, wakifumaniwa ni kipigo cha mawe hadi kufa. ila hawa wa bongo ambao hata ukimfumania mchana hutakiwi kumpiga, ni wachache sana hawagawi.
Hatari sema hawana gubu mambo yakununiana
 
Hatari sema hawana gubu mambo yakununiana
shida ya huyu jamaa anafikiri labda ni yeye tu alishawahi kuwalala hao watu. tumepita sana huko na wengine tulishaishi maeneo ambao wao ndio wengi kuliko wengine na tukilinganisha, huwezi kumdanganya mtu. kwa watu wote duniani kuna variaties, kwenye aina yao kuna wengine wanaweza wengine ndo hamna kitu kabisa. sawa na kabila la wachaga wanapondwa sana kwamba hawajui mapenzi, lakini wachaga hao wanaoongelewa ni hao wa vijijini, ukutane na hawa dotcom wanaoenda moshi chrismas tu, utakimbia mwenyewe, nenda kwa watu wa Tanga, enzi zangu niliwahi kujisemea wanasema mapenzi yamezaliwa Tanga ngoja nipate watanga hadi nichoke (nilikuwa huko), niliburuza wengi nikaona aliyetunga hiyo sentence alikuwa hayajui mapenzi kabisa. hamna lolote, hata mawanawake hayo yanayonenguanengua viuno kwenye kucheza/dancers nilijua huyo ataninengulia au anajua mapenzi, hamna kitu. baada ya hapo nikaachana na sweeping generalization.
 
34!!Bado familia inakupangia maisha yako!inakuchagulia wa kuwa nae kwenye mahusiano!!
Vijana wa sasa hv mna nini?
Swala la usafi/personal hygiene,kupenda,kupika,hayana uhusiano na dini ya mtu,
Ni maswala mtu anafundisha,anajifunza.
Kwanini watoto wa kikristo wengi hawayajui hayo?
 
Naona watu mmeshindwa kumwelewa mwenye uzi wake.

Nijazie tu kwamba ukikuta mwanamke wa kiislamu dini imemkolea basi jua hiyo ni mwanamke kweli.

Kwajweli ukichukua mwanamke wa kiislamu na wa kimkristo; mwisilamu ana unafuu zaidi.

Kwamfano ukiangalia single maza asilimia kubwa ni wakristo. Mtanisamehe kwa hili.
wajinga ndiyo waliwao
 
Sio tukusamehe bro!
Mm ni mkristo ila mabinti wa kikristo wanazingua sana..janja janja kibao
Mwanmke wa kiislam wanafundishwa kuwa wasikivu na wastahimilivu kwa mwanaume
 
Sasa nina miaka 34, nipo na binti wa Kiislam nliyefahamiana nae Zanzibar huko miaka 5 iliyopita, ananipenda sana nami pia nampenda sana na kitu kizuri familia yao sio wabaguzi na wananifaham vizuri tu hadi kwao Zanzibar huwa naenda na wananipokea.

Ila familia yangu ndio ulokole na ubaguzi wameuweka mbele zaidi yaani sometime huwa wananifosi hadi kunitafutia wanawake wa dini yangu ili niwaowe tu lakini wapi wameshindwa kumpindua huyu binti wa kiislam nliyenae.

Sometime huwa najaribu kutafuta mwanamke wa dini yangu ili niwaridhishe wazazi lakini wapii mwezi tu nawakimbia mean wameshindwa kabisa kunishawishi kuachana na huyu binti kisa dini,mean wameshindwa kumpindua.

Cha kwanza kabisa kwa experience yangu katika mahusiano nliyopitia na mabinti wa kiislam , cha kwanza wanayajua mapenzi, ni wasafi kimwili hadi nimekuwa nikishangaa wanafundishwa wapi yaani mwanamke hana shombo, wanajua kupika na wakipenda wanapenda kweli.

Katika kipind ambacho nimewah kuumia kweny mahusiano ni kipindi ambacho nilijichanganya kwa binti wa kiislamu aseee niliamini maumivu katika mapenzi.

Yaani nilivyokuja kumpata bibiee wa kikristo(my current boss lady) niliamini wasichana wa kikristo wanajua kupenda sana.... Na nizungumze kwa uwazi nilkuwa mjinga kama mtoa mada.

Maana jamaa yang fulani alikuja kusalitiwa kinyama sana na binti wa kikristo aliyemuamini sanaa hii ilinifanya niwe na shaka hata na boss lady wangu. Niliamini na bado ninaamini upendo hauna uhusiano wowote na dini.
 
Sasa nina miaka 34, nipo na binti wa Kiislam nliyefahamiana nae Zanzibar huko miaka 5 iliyopita, ananipenda sana nami pia nampenda sana na kitu kizuri familia yao sio wabaguzi na wananifaham vizuri tu hadi kwao Zanzibar huwa naenda na wananipokea.

Ila familia yangu ndio ulokole na ubaguzi wameuweka mbele zaidi yaani sometime huwa wananifosi hadi kunitafutia wanawake wa dini yangu ili niwaowe tu lakini wapi wameshindwa kumpindua huyu binti wa kiislam nliyenae.

Sometime huwa najaribu kutafuta mwanamke wa dini yangu ili niwaridhishe wazazi lakini wapii mwezi tu nawakimbia mean wameshindwa kabisa kunishawishi kuachana na huyu binti kisa dini,mean wameshindwa kumpindua.

Cha kwanza kabisa kwa experience yangu katika mahusiano nliyopitia na mabinti wa kiislam , cha kwanza wanayajua mapenzi, ni wasafi kimwili hadi nimekuwa nikishangaa wanafundishwa wapi yaani mwanamke hana shombo, wanajua kupika na wakipenda wanapenda kweli.

Tigoo unapewa ndio tamuu kingine nope
 
Huwezi ishi na binti wa kislamu .
Hawajui mapenzi.
Wao cha kwanza ni wanafiki sana.
Wanaishi nawewe mguu mmoja ndani na mguu mwingine njee.
Haridhiki hata utoe moyo umpe.
Hawaamini wanapendwagwa.
Hupenda maneno kila kukicha.
Hawezi ishi na mtu bila kupigana,kutafutana na mambo mengi wao wako kama bata wanavitu vingi ambavyoo huwezi vumilia .
Nawajua sana .
Nimeishi nao nawajua huwajui vizuri kama mimi yaani tabia zao zinafanana.

Nimeishi nao kama marafiki na kama ndugu pia nawajua pia sana.
Halafu wadada wengine hawasemi nikimya tu ila wakikufumilia ishu utakula ya moto
 
Naona watu mmeshindwa kumwelewa mwenye uzi wake.

Nijazie tu kwamba ukikuta mwanamke wa kiislamu dini imemkolea basi jua hiyo ni mwanamke kweli.

Kwajweli ukichukua mwanamke wa kiislamu na wa kimkristo; mwisilamu ana unafuu zaidi.

Kwamfano ukiangalia single maza asilimia kubwa ni wakristo. Mtanisamehe kwa hili.
Kwenye mshonoo, uwiii hapo ni kwenye mshonoo toaa!! aseeee!.. inaumaa!.
 
Dini ni utamaduni kwa hiyo kwenye ishu ya mapenzi hauwezi ukaiweka kando dini, na ndio maana kuna ndoa za kidini. Mwamba yupo sahihi kabisa kuzigusisha dini kwenye mapenzi.

Kwani kuna dini gani kati ya hizo mbili zisizoongelea mapenzi tena minyanduano kabisa.
 
Back
Top Bottom