Mimi ni kijana wa miaka 20 nahitaji ushauri wa wa kazi nayoweza kufanya kulingana na elimu yangu

You Inspired me alot Boss, kuna rafiki yangu mmoja anapenda Online Business hasa Forex, yani sana nafikiri angeona hili andiko angefurahi sana kuona things are possible, previous years nilikuwa mweupe kabisa kwenye Forex kwasasa ninaijua japo Price Action tumekubaliana hakuna kitu kingine cha kufanya kuanzia tar 1/2021 zaidi ya FX kujenga Consistency nzuri.

Rafiki yangu anakuja Dsm tukomae wote siku moja tutapenda tuonane utupe miongozo yako maana sie bado tunachangamoto nyingi sana na tuna picha kubwa sana.
Komaa mkuu ukifanya kitu kwa moyo mmoja unatoboa, mimi napenda Mambo ya online Sana japo Nina biashara nyingine ndogo ndogo lakini nazifungua Kama security tu ila my main source of income ni kutoka mtandaoni na ntashukuru Mungu siku baada ya siku nazidi kuearn more.

FX sijawahi kutrade kwakuwa sijaipatia muda ila nimepanga this time around nitasafiri kwenda mwanza kuonana na huyo dogo anipe SoMo.

Ametokea kuwa rafiki mzuri kwangu maana hanijui simjui lakini uwa na handle transactions zake tu na tulijuana kwenye telegram group la jamaa waliokuwa wanauza line za safaricom humu. Yani Leo tu nimetoka mtolea na kumtumia 120$ si muda.
Dogo kanipa kimuhe muhe
 
Komaa mkuu ukifanya kitu kwa moyo mmoja unatoboa, mimi napenda Mambo ya online Sana japo Nina biashara nyingine ndogo ndogo lakini nazifungua Kama security tu ila my main source of income ni kutoka mtandaoni na ntashukuru Mungu siku baada ya siku nazidi kuearn more...
Heko
 
Hapo
Nataka Nije Nikuone

Unajua Jamiiforums Ina Wawakilishi Duniani Kote. Kuna Mtu Alisema Mtoto Kaugua Na Maharage Jumapili Kama Leo!!

Akaweka Picture Na Number Ya SIM
Watu Wamsaidie Cash, Zaidi Akasema Yupo Lugalo Hospital

Baadhi Ya Member Walikwenda Kumbe Hayupo Hospital
Ooh pole yake Mimi nipo chang'ombe apa round about ya kuelekea nkuhungu namba zangu 0686027367
 
Back
Top Bottom