Mimi ni KIBARAKA....!

duuuu kibaraka kama nimewahi kukuona VILE! Nakufahamu eeeh au!? karibu sana mkuu!
 
karibu kibaraka ila sorry usije ukawa kibaraka wa ukweli anyway ur welcome
 
Jamani hilo ni jina langu tuu.
Yaani ni Nomino na sio Kitenzi.
 
duuuu kibaraka kama nimewahi kukuona VILE! Nakufahamu eeeh au!? karibu sana mkuu!

ni kweli mimi sio mgeni machoni kwa wengi tuu.
Nilijipatia umaharufu sana siku ya kutangaza matokeo ya uchaguzi mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom