Mimi ni Graphic Designer, Videographer natafuta kazi

6 years of experience, still searching for jobs mtandaoni. Aisee
Nadhani unaishi kwenye theoretical world....

HBO wenyewe usishangae baada ya miaka wakawa wanatafuta kazi wanakosa, life is a journey not destination hata ukiwa juu vipi unaweza kushuka (reaching the top is one thing but maintaining that level is different ball game) especially in the age of competition
 
Habari Naitwa Abdul Ni Graphics Designer Pia Ni Videographer Na Photographer Naishi Kinondoni Dar Es Salam Nina Uzoefu Wa Kufanya Video Nzuri

Na Za Kisasa Zaidi Pia Nina Uzoefu Wa Kupiga Picha Mnato Zenye Ubora Kabisa Pia Nina Uwezo Wa Kufanya Graphics Design Za Aina Zote Na Upande

Wa Motion Graphics Niko Vizuri Nina Uzoefu Wa Miaka 6 Nimefanya Kazi Kampuni Mbali mbali Ahsanteni
 
Mkuu kama ni wa hapohapo dsm basi komaa hapo ila kama unatokea nje ya dsm hasa kwenye vimji vinavyokuakua kuna uhitaji sana wa watu kama wewe.

Mikoa mingine kipaji kama chako hulali njaa, watu wengi huko wanapenda hizo photoshoot yani saana, kama ni mpenda fursa jichange ukateke huko.
 
Dah unajua tatizo sikuhizi ma graphics designer, photographers na videographers wamekua wengi mnoo, yani kila chocho kika kona hata ambao hawajasomea wamejifunzia kwa watu tu wameingilia soko hili na pengine wanafanya vizuri zaidi ya waliosomea.
Changamoto inakuja kwenye wateja sasa.
 
Habari Naitwa Abdul Ni Graphics Designer Pia Ni Videographer Na Photographer Naishi Kinondoni
Dar Es Salam.

Nina Uzoefu Wa Kufanya Video Nzuri Na Za Kisasa Zaidi Pia Nina Uzoefu Wa Kupiga Picha Mnato Zenye Ubora Kabisa.

Pia Nina Uwezo Wa Kufanya Graphics Design za Aina mbalimbali Na Upande Wa Motion Graphics Nafanya pia.

Nina Uzoefu Wa Miaka 6 Nimefanya Kazi Kampuni Mbali Mbali Naomba Ahsanteni
Tivu wake tafadhali
 
Back
Top Bottom