Nadhani unaishi kwenye theoretical world....6 years of experience, still searching for jobs mtandaoni. Aisee
kujitangaza kunaanza na kuweka kazi ulizokwisha fanya hapa na sio chombingo.Naweza Kukutumia whatsap Mkubwa
0621217710 hiyo ndo namba yangu
Samahani, Mimi mwenyewe KAZI.Nipe kazi boss
Tivu wake tafadhaliHabari Naitwa Abdul Ni Graphics Designer Pia Ni Videographer Na Photographer Naishi Kinondoni
Dar Es Salam.
Nina Uzoefu Wa Kufanya Video Nzuri Na Za Kisasa Zaidi Pia Nina Uzoefu Wa Kupiga Picha Mnato Zenye Ubora Kabisa.
Pia Nina Uwezo Wa Kufanya Graphics Design za Aina mbalimbali Na Upande Wa Motion Graphics Nafanya pia.
Nina Uzoefu Wa Miaka 6 Nimefanya Kazi Kampuni Mbali Mbali Naomba Ahsanteni