DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 17,905
- 45,337
Wakuu Assalam alykum.
Mimi ni Fundi wa Kampuni ya Estim construction ila kwa sasa niko Zanzibar
Nimefanya kazi kwenye majengo mengi Dar e Ssalaam yaliyojengwa na Kampuni ya Estim, kama Viva Tower, Pspf 1 na Pspf 2 Pale bandarin Yale majengo mawili marefu
Pia Zanzibar nimejenga Hotel ya Bakhresa inayoitwa Verde hotel iliyoko mtoni marine.
Pia nimejenga Fumba town na nk.
Wakuu mimi ni fundi mzoefu na mzuri ambaye gharama zangu sio kubwa ukilinganisha na ubora wa Kazi zangu .
Kwa sasa hivi Niko Zanzibar.
Upande wakupiga lipu tunapiga lipu kwa Square meter moja kwa elf 1600 tu kama ambavyo tunalipwa kweny kampuni ...pia tofari moja tunalijenga kwa 200 kama kwenye... Kampuni.
Kuweka floor tunaweka kwa elf 1000 square meter 1
Gharama zangu ni nafuu ukilinganisha na huduma zangu.
Nb iyo 1600 plaster ni kwamba natimanzi naweka moja kwa moja hili kupata geji ya Udongo utakaoingia ukutani.
NAMBA YA SIMU NI : 0787 579 364