Mimi ni dereva wa Uber natafuta kazi ninatafuta kazi ya udereva wa Uber

Adimu

JF-Expert Member
Aug 22, 2013
655
284
Habari wakuu,

Mimi ni dereva mwenye leseni inayoniluhusu kuendesha abiria na nina hati ya tabia njema kutoka wizara ya mambo ya ndani, natafuta gari ndogo ya mkataba kwaajili ya kazi ya kubeba abiria (Uber).

Namba zangu ni 0742783775
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom