Mimi ni dereva wa magari na operator wa Forklift, natafuta kazi

Dreww

New Member
Jan 5, 2021
4
1
Mimi ni kijana wa miaka 26 natafuta kaz ya udereva nikiwa nimesoma NIT VIP nikiwa na leseni yenye madaraja ya B,D,E ,C1,C2,C3 na F nina uzoefu wa miaka 4 na pis no operator mzuri wa forklift.

Kwa mawasiliano zaidi 0673603220,au 0768445700

Tafadhalini wanandgu tusaidiane
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom