Mimi ni Dereva, natafuta kazi ya kuendesha gari ya Uber

Habari za majukumu ndugu zangu kwa majina naitwa hassan mohamed manzi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 naishi daresalaam temeke ninatafuta kazi ya udereva ikiwemo kumuendesha mtu binafsi daladala, gari ya kampuni kwa yeyote mwenye kuhitaji dereva nipo tayari napatikana kwa namba zifuatazo:

Tel.0752583393 voda
Tel.0719718997 tigo

Naimani mtanisaidia ndugu zangu shukuran kwa wote niwatakie ramadhan karimu.
 
Bwana mdogo umejiunga na ajira portal?

Juzi kuna kazi za udereva zaidi ya 100 zilitangazwa

Vipi uliomba?
 
Hawa ajira portal wazinguaji sana yangu mara zote kila niki apply job application inakuwa failed na nikiangali mara zote requirements zote huwa ninazo sasa sielewi shida iko wapi.
 
Hawa ajira portal wazinguaji sana yangu mara zote kila niki apply job application inakuwa failed.....na nikiangali mara zote requirements zote huwa ninazo sasa sielewi shida iko wapi.
Kuna mahali unakosea. kama umweka qualification za juu na unataka kazi ndogo huwezi.

Sasa hao wanaitwa kila siku kufanya interview wenye wanafanya nn hadi wanaitwa
 
Habari za majukumu wana jamii forums,

Natafuta gari ya uber hesabu nina account zote mbili kwa atakae hitaji dereva nipo tayari nina uzoefu miaka mitatu napatikana kwa namba 0752583393
 
Back
Top Bottom