Mimi ni clinical officer, natafuta kazi ya muda au ya kudumu

magreth ligunda

New Member
Jul 22, 2021
3
1
Habari, natafuta kazi professional yngu ni clinical officer popote pale iwe ya temp au permanent popote pale

No 0627018037
 
Mi nikajua Kada ya Afya bado ni demanding? umejaribu serikalini dada? nadhani soon watatoa ajira
 
Clinical officer mmekuwa wengi sana na mbaya zaidi hiyo kozi hii hata south africa au dubai hawaitambui...mjiandae kufia tz au mkasome tena kwa bidii.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom