magreth ligunda
New Member
- Jul 22, 2021
- 3
- 1
Habari, natafuta kazi professional yngu ni clinical officer popote pale iwe ya temp au permanent popote pale
No 0627018037
No 0627018037
Unapatikana wapiHabari, natafuta kazi professional yngu ni clinical officer popote pale iwe ya temp au permanent popote pale
No 0627018037
Nipo dar ila popote nafanya kikubwa maelewano tuUnapatikana wapi
Nasubiria Ila kwa sasa lzm nitafute sehemu uhaba ni mkubwa ivyo atuwezi kupata wote kwa pamojaMi nikajua Kada ya Afya bado ni demanding? umejaribu serikalini dada? nadhani soon watatoa ajira
Mi nikajua Kada ya Afya bado ni demanding? umejaribu serikalini dada? nadhani soon watatoa ajira
wewe ndie umtafuteKuna mtu anaitaji iyo nitafute kwa no yngu