Mimi ni Chadema na Ninaungana na CUF Feb 7 "Kupinga Dowans na Rights of Tanzanians"

niweze

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
1,008
116
Wengi tumesikia CUF wanaandamana Jumatatu, Feb. 7, 2011. Kushangaza ni kwamba wengi wanachama wa Chadema hatujui kuna hili tukio muhimu kwa nchi. Malengo ni makubwa hapa na hasa hii siku ili Tuonyeshe Jinsi Gani Kikwete na CCM Wanavyo Kiuka Haki za Binadamu na Kuvunja Sheria za Watanzania. CUF na Chadema wote tunapigania haki za Watanzania ingawa kuna tofauti ya jinsi kupata hizi solutions. Ni kweli tofauti zipo ndio maana vyama vinamisimamo tofauti. CUF na Chadema na hata TLP na NCCR wote ni wapinzani wa CCM na kinachoumiza ni hapo baadhi ya wanachama wa hivi vyama kutafuta solutions kwa kushirikiana na hawa wezi-CCM. Ushauri wangu ni huu "Tujifunze Egypt na Tunisia Wapinzani Wameweka Tofauti zao Pembeni ili Kumwondoa Mubarak na Chama Chake Serikalini" Egypt wana Tahrir Square na Sisi Tutengeneze "Mapinduzi Square Mnazi Mmoja". Nipo Pamoja na CUF au TLP au NCCR kwenye maswala ya Rights of Tanzanians na War on Mafisadi.

"Dowans na Matokeo ya NEC ni Symbols of Abuse of Power and Human Rights"
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom