Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,850
Mimi ni mwanachama hai wa CHADEMA/UKAWA.Ila tufike mahala tuambiane ukweli tu.
Kwa mfumo wa Tume ya uchaguzi nchini, Upinzani sahauni kushika dola."Huo ndio ukweli"
Kama nia ni njema juu ya taifa hili.CHADEMA/UKAWA fanyeni yafuatayo.
1. Piganieni mabadiliko ya mfumo wa tume kuelekea 2020
2. Piganieni "Refa" Polisi wasimame katikati bila upendeleo.
Na endapo hayo hayatatizwa na mna nia njema kweli, fanyeni yafuatayo;
1. UKAWA susieni kuingia kwenye chaguzi yoyote nchi, Urais/ubunge n.k. Kuelekea 2020 mpaka mashariti hayo yatakapotimizwa.
Najua kususia lazima kuwe na uzalendo wa hali ya juu. Maana wapo watu watasaliti kwa njaa zao.Ila tulipofikia ndio njia pekee hamna namna.
Acha jumuia ya kimataifa ijue Tanzania hamna vyama vyingi ila kuna vyama vingi vya CCM."Ukweli haujifichi"
Sioni ni namna gani mtashinda uchaguzi bila mabadiliko tajwa hapo juu. Labda kama tunashiriki uchaguzi kwa ajili ya ruzuku na mishahara ya ubunge.
Lazima tuamue kusuka au kunyoa!
Asanteni!