Mimi ni bikra lakini

Mpe jamaa yako mzigo ki nguo nguo kama zamani tulipokuwa wadogo. kwani hiyo njia haina madhara na utabaki Big K kam unavyotaka mrembo.
 
Endelea kukataa tu. Kwani uchumba ni mpaka akufunue chupi? Huyo anakutaka tuu amalize hamu bila kulipa baasi. Nani alikuambia sex ni kufanya na kila mtu?
 
mimi na mpenzi wangu 2napendana sana na ananitaka 2fanye mapenzi na mi sitaki mpaka 2oane nifanyeje? ushauri jamani

naungana na mwana JF mwenzangu aliyepost leo asubuhi tutakoma kwa posts za kitoto mpaka hapo shule zitakapofunguliwa JANUARY. WATOTO NENDENI TUITION, ACHENI MCHEZO HII DUNIA INAWAKA MOTO!
 
Baba paroko Eiyer njoo uone huku!
Halafu utoe ushauri kwa upendo bint wa watu bikra huyo usimtishe akakimbia bure!!!
 
Last edited by a moderator:
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom