Mimi ndio mwenye nyota ya kusalitiwa, vipi wenzangu haya mnayapata pia?

Covax Wacha kufanya mambo ya kishetani ,kwanza pole sana kwa mitihani pili kumsaidia mtu au kusaidia familia ni jambo zuri sana tatu fanya wema uondoke usisubiri shukurani na vile vile jifunze kutokana na makosa unayoyafanya plus kuwa na moyo wa huruma na kusamehe ,mwite mama watoto wako mwambie tunafungua page mpya musahamiane yalipita si ndwele mugange yajayo na kama ukiona bado hajakubali mrejeshe kwao kwa muda wa mwezi mmoja au hata miwili ukiona bado ujue ndio yenu imekwisha sababu kipindi cha yeye kwenda kwao ni kipimo tosha kati yenu bado mutakana na kupendana na kumisiana na kubwa zaidi uongeza jiko jengine imean oa mke mwengine utona atakovobadilika even though atakufanyia vishindo lkn mwisho atakaa sawa tu.
 
Huna master's degree. Kuna makosa mengi sana ya kiuandishi ambayo mtu aliyekwenda shule hawezi kuyaandika.
Unapenda sana kusifiwa hujawasikia wahenga wakisema "tenda mema nenda zako"
Mfanyabiashara yoyote akishafanya kosa la kutembea nje ya ndoa ajue imekula kwake. Wanawake wa nje Wana nuksi sana.
Ulitembea nje ya ndoa bila kondom, hii inaonyesha wewe sio mtu makini.

Acha kukariri mzee usijifanye mlokole san hakuna life bila mistake na hakuna mistake bila life hiyo yote ni mipango ya Muumba alaf unaongea maneno ya kitoto san ww ndio mtu makini!!!leo kwake kesho kwako ndio maan kafunguka ili kila mtu ajifunze pia
 
Tumezaliwa watoto wa tano kwa Mama na watoto 9. Kwa Baba, mimi ni mtoto wa tatu kwa Mama na ni mtoto wa tano kwa Baba, Mimi nina bahati kubwa kwamba ni mefanikiwa mapema kwa upande wa elimu na upande wa utafutaji mali, ila halimanishi kwamba ndugu zangu wote hawakusoma au hawana mali, wamesoma ila ni mesoma zaidi yao with (MA in human resource) wengine wana shahadah na stashahada, mmoja form 4 drop-out, kwahiyo wana pokea mishahara yao ya kawaida (wage earners) wakati mimi ni self employed. Mada yangu hapa ni kusalitiwa kwa mambo mengi kutoka kwa ndugu marafiki na mke najiulize kwa nini mimi? (why me alone) au pia na nyie mesha wahi ku salitiwa, naomba mnipe uzoefu katika hili au kuna sehemu nakosea?

Usaliti wa kwanza.
Mimi nilichelewa kuza na nilivo oa kaka zangu walikua na watoto wakubwa na nilikua katika position nzuri ya ku wasaidia, pesa nilikua nayo na nyumba kubwa nilijenga wafanya kazi wa wili, niliamua kuwa somesha hao watoto wa ndg zangu bila tatizo shule za Engilish medium kwa sababu mimi na heshimu sana elimu kuliko kitu chochote mimi nina fikra kwamba "education is the key to success" kwahiyo niliwapa quality education kwa fikra ya kusaidia ukoo wetu pamoja na kaka zangu, nilizani wata nishukuru na kunipenda na tutakua wamoja, ila ilikua kinyume chake, paka watoto wanamaliza f4 Baba zao hawajawahi ku kanyaga nyumbani kwangu au kunijulia hali au kunipa 'word of appreciation' duh. Kilicho niumiza zaidi kuna kipindi vitoto vyangu vyakuzaa vinaanza chekechea narudi home wote na wale wa ndg zangu wa merudishwa ada, ni kamwambia wife kwamba hela iliopo nikiasi kadhaa hatuwezi kuwalipia wote, nikaweka msimamo wangu siwezi kulipia wa chekechea wakati wapo wa darasa la sita na tano kwa hiyo ntalipia wa ndg kwanza wa kwangu wiki njao. Maanake my kids walipata (second priority) duh.

Mtoto moja wa ndg alifanikiwa kufaulu viziri na akawa pia ana laumu Baba ake kwanini haji hata kuwajulia hali nyumbani, kwangu nikaona huyu mtoto tuna maono sawa sawa nikamuendeleza paka chuo kikuu kupata bachelor yake, nikawa na mu train kufanya biashara nakumpa majukumu ili ajifuze na azoee pesa incase, sasa mwaka 2018 sector binfsi ziliumba kweli wengi tulipoteza mitaji na wateja, biashara zili zolota malengo yalibadilika sio faida tena, ila kulinda mtaji wakati tunasubiri the 'dust to settle down' tu kawa na matumaini kwamba biashara zitarudi tena vizuri, tulipunguza matumizi ili kulinda mtaji kwahiyo maisha ya nyumbani ya libadilika hatukua tu naenda supermarket tena kununua mahitaji tulikua tunanunua gengeni, tunapanda boda boda kwa usafiri wa hapa na Pele, ila cha kushangaza huyu mtoto wa ndgu alinikimbia nyumbani na ku-niblock kwenye simu zake fb twitter nk , nilisikiaga tu kaanzisha mji wake, sinza.

Dada wangu alisoma diploma ya ualimu akaniomba ni mfadhili ili asome degree apidishwe cheo na mshahara, nilimlipia miaka mitatu karibia 4.7m kwa sababu alikua in-service hakupata mkopo Mungu.. ...siku ya maafari yake ali washukuru watu wote walio msaidia hususani mme wake (a primary teacher) ila hakunitaja mimi wala akutambua mchango wangu, citaki nieleweke vibaya kwamba nilitaka kusifiwa hapana kama mtu pia inauma ku sacriface kiasi hicho bila mtu kutoa recognition and appreciation kwako hapana huo ni usaliti.

Wakati biashara inaenda vizuri kuna mdada moja alikuja ofisini ku niomba kazi yoyote ili aweze kulisha mtoto wake alikua singo maza alitelekezwa na mzazi mwezie, tulimwambia hatuna kazi labda za nyumbani, ila arudi kesho tuone kama nafasi itapatikana, alivo rudi kesho yake ni kamuhoji vizuri, kumbe alizalishwa baada ya form 4 alikua ame faulu vizuri, nikashauliana na wife kwamba tumpe kazi za ndani ila jioni asome computer kozi atakuja kumsaidia wife kwenye kazi zake katika upande wa mahesabu, kwasabb she was too smart to be ahouse girl, alikubaliana nasie akawa sehemu ya familia. Tangu 2014 hadi 2017 alikua amepata cheti kizuri cha uhasibu pale CBE akawa tunamtumia katika kazi zingine za uhasibu na secretariat, mwaka 2018 biashara zilianza kua sio nzuri, kuna nyumba yangu ya wapangaji wa lishindwa kunilipa na nikakosa wapangaji kwa mda huo, ni kamuomba huyu singo maza awe anakaa kwenye ile nyumba, niliweke vitu vyote muhimu kwa ku hamisha kwasabb tulikua na vitu vya ziada nyumba kuu, kuna kosa nilifanya hapa najilaumu tu kipato kilivo yumba na ndoa ilianza kuyumba pia. mke wangu alikua hanisikilize kama zamani alinifanyia visa vingi but I wasn't ready kum-devorce kimkakati, kuna siku nilikua na zidiwa hadi kuamua ni silali nyumbani kwasbb niliogopa naweza kupiga mtu hadi kufa na nikaiingia jela bure, so nikawa naenda kulala kwenye nyumba yangu nyingine kulikua na master bedroom, kama mara tano hivi si kuaga nawazo lolote la kumlala huyu singo maza, ila kuna siku moja nilienda pale mchana, kama saa nane hivi kupumzika kdgo, hapo huyu singo maza alivo ingia chumbani mwangu kuniwekea sabuni duh kwakweli niliteleza Mungu ani samehe stress za ndoa mbaya sanaa unaweza ukapata ugonjwa hata bila kujua, so it became a daily routine. Ila usaliti uko hapa huyu singo maza alipata ajira nzuri mkoani bila kuniambia, kaleta gari kahamisha kila kitu ndani na kuondoka majilani hawakuniambia kwasababu walijua nimpangaji ameamua kuhama tu, ila nasikia kajifungua mtoto wakike sina wakika%100 kama ni wangu, ila alinisaliti nilimsomesha nikamhifadhi nika mstiri ilaondoka bila kuniaga na akanipora vitu vyangu, ila baada kuuliza uliza kwao watu wanao wajua waliniambia hawara wa Kisukuma wako hivo atakuachia hata pesa au hati kiwanja ila hatakuwachia vitu vya ndani kama sahani vikombe godoro, mashuka nk.

Kwahiyo nilisha puuzia hayo yote. Na pia bado nina usaliti mwingine kutoka kwa Ndg marafiki ila nta wachosha bure je kunawenye kusalitiwa kama mimi au nimimi tu mwenye Nyota ya kusalitiwa?

Pole sana mzee ila huruma ikizid huzaa dhambi hakuna haja ya kuumia kwajili ya watu wengine wao hawana tym na ww kukushukur ila piga moyo kinde mtumainie Mungu fanya mambo yako jikeep busy na ishu zako Allah atakuinua ukisimama vzr zaid watakuja tena wakija weka tinted wasikuzoe,mambo uliyopitia ni fundisho kwako saidia wanao ndio msaada wako hawawez kukutupa sio ndugu wengn ni ovyo kaka
 
Now you are talking my brotha! I wish you good mzee ndio tunatakiwa tuishi hivyo
Am still younger kwa standard za kwetu hapa Tz am turning 39 this June isipo kua niliwahi maisha at 21 yrs nilikua tayari niko kwenye serious mapambano ya kutafuta pesa nilitafuta ki gari changu cha kwanza "Toyota corolla 100" napenda sana hiyo gari ilinivusha , niliweza ku attend masters lessons bila wa ajiri wangu ku notice, kwa kutumia mda wangu ipasavyo,
Experience yangu ya utafutaji na maisha ni kubwa kuliko umri wangu mimi naona kama ni mzee tayari. Kwasababu niki sikiliza stori za my age mate naona kama za kitoto unawasikia katika maongezi yao eti nime kutana na 'pisi kali' pisi kali bila pesa ni upumbavu.

Kwenye familia ndo nime vurugwa kabisa sina amani bora mwana umme wa mwaka 60, yani pesa sio kila kitu hasikwambie mtu 'life is more than money'
 
Inabidi tupate wasaa tuongee kidogo
 
brother nimesoma vizuri hii post nimejifunza sana sana sana. Wema wako time comes utalipwa hao waliozingua achana nao, hapo kwenye ndoa duh sio poa, pole sana
 
brother nimesoma vizuri hii post nimejifunza sana sana sana. Wema wako time comes utalipwa hao waliozingua achana nao, hapo kwenye ndoa duh sio poa, pole sana
Familia zingine kosa mmoja wao hasa mdogo afanikiwe kimaisha kabla yao wata mzonga paka akose amani ata kama anajipendekeza kwao kwa kutoa misada mbali mbali, hawa tashawishika ndg wana mengi acha tu.
 
Huna master's degree. Kuna makosa mengi sana ya kiuandishi ambayo mtu aliyekwenda shule hawezi kuyaandika.
Unapenda sana kusifiwa hujawasikia wahenga wakisema "tenda mema nenda zako"
Mfanyabiashara yoyote akishafanya kosa la kutembea nje ya ndoa ajue imekula kwake. Wanawake wa nje Wana nuksi sana.
Ulitembea nje ya ndoa bila kondom, hii inaonyesha wewe sio mtu makini.
Acha unafki Wana Wana biashara kubwa na wanatembea nje ya ndoa iyo no Imani yako ww
 
Kaka. Unajua implications za kutotumia kondom kwa mtu asiye mke wako?
Unaweka rehani Maisha yako, ya mkeo na ya wototo wako kwa starehe ya dakika nne. Mind you four minutes.
Ukifanya huo upuuzi hata kuongea na wewe siwezi maana najua naongea na mpumbavu +++
Unaona mke na watoto ni dhamani duniani tembea uone labda bado unakuwa Ila zunguka hii icho ujifunze mengi mke watoto ni Mali kama utajiri ambao mda wowote unaweza kukuacha kufilisika, kuibiwa na ukajiona wewe ni Sawa na mavi Tu ona Ayubu fatilia familia za kichaga hasa wanaume uzeeni bado hujui kitu endelea kujifunza
 
Am still younger kwa standard za kwetu hapa Tz am turning 39 this June isipo kua niliwahi maisha at 21 yrs nilikua tayari niko kwenye serious mapambano ya kutafuta pesa nilitafuta ki gari changu cha kwanza "Toyota corolla 100" napenda sana hiyo gari ilinivusha , niliweza ku attend masters lessons bila wa ajiri wangu ku notice, kwa kutumia mda wangu ipasavyo,
Experience yangu ya utafutaji na maisha ni kubwa kuliko umri wangu mimi naona kama ni mzee tayari. Kwasababu niki sikiliza stori za my age mate naona kama za kitoto unawasikia katika maongezi yao eti nime kutana na 'pisi kali' pisi kali bila pesa ni upumbavu.

Kwenye familia ndo nime vurugwa kabisa sina amani bora mwana umme wa mwaka 60, yani pesa sio kila kitu hasikwambie mtu 'life is more than money'
I think wewe ndyo wataka kujiuwa na kibaya zaidi labda Mali waogopa kuzigawanya Ila kumbuka Mali si kitu Bana maana zinatqfutwa na kupotea na bado tunazitafuta Mzee wangu alivunja ndoa yake akiwa na miaka 42 akaanza mwanzo saivi fresh maisha yanasonga katika kitu kinaweza kutumaliza mapema ni stress za ndoa kama mmejiaribu kusettle Mambo yawe Sawa imeshindikana basi just mov on angalia mbele kuna vingi snaa vya kufurahia Aya maisha kuliko kuiwaza ndoa na katika kusaidia msaidie mtu akiwa mbali nawe na Kwa kiasi kidogo sana haitakupa mawazo ata kidogo wala kutaka kusikia asante kwako life ni tamu sana broo tamu sna sema ndyo ivyo kuna kufa Tu Ila life is good
 
Kwa hali kama hiyo labda mwana mke mwenyewe aombe talaka, ila wengi hawataki, nikusumbua kwa kisingizio cha kuleya watoto.......
 
Pole mkuu. Ila acha kusaidia watu kwa kuhesabu na kutegemea malipo. Pia you look down on folk, pengine ndio maana wanapata na kusepa. Fix yourself.
 
It seems una unyanyasaji flani especially through maneno na inawezekana hata wewe mwenyewe hujui; jichunguze. Unasaidia watu kwa ajili yako na si kwa ajili yao ndio maana unaumia sana usipopata praise and worship kutoka kwao.

All in all usaliti upo duniani na tumeumbiwa binadamu. Pole sana
 
Naona hapo kama unamuonea mleta mada kasema watoto wake na wa ndg zake walienda shule moja, kasema hanaga mda wa ma simango, hata yule singo maza alie mpora samani za ndani ni kwa ajiri yàkumnyanyasa au? Ebu tuwe fair ili tujifuze maisha kupitia kwa watu wengine.
 
Waswahili hawatakiwi kufanyiwa huruma kama wewe unavyojitolea bora uwe mbinafsi ndio heshima itakuja. siku ukikosa pesa ndio utajua waswahili hawana jema

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Wakati mwingine tunatoa misaada kwa ndg siyo kwa akili zetu bali watu wanahangaika kutupumbaza ndiyo maana unakuja kushtuka ushapigwa teyali
 
sabuni tu ukateleza, ina maana ni sabuni ya mbuni
na kwanini ukalale na hasira za kusimama mpaka mwenzako kapata mtoto?
hiyo sio laana hapo umetuzidi wengine
kuna kitu
 
Back
Top Bottom