Mimi napingana na BOT uchumi wetu haupo vizuri

Sasa ukiangalia kwa sasa kwa kipindi cha mwezi tu Usd amekuwa strong dhidi ya tzs. Yani kutoka dola kuuzwa 2228 leo imefika 2338 kwenye mabank ya biashara. Hii inamanisha nini?
Maana yake watu wana pesa.Mwenye pesa hata upandishe bei vipi Wananunua.Watu wangekuwa pesa hawana dola ingeuzwa hadi shilingi mia 200
 
Back
Top Bottom