Mimi na wewe kama watanzania tumeifanyia nini Tanzania? Cha kujivunia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mimi na wewe kama watanzania tumeifanyia nini Tanzania? Cha kujivunia

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tabu kuishi, Jul 19, 2011.

 1. t

  tabu kuishi JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 354
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Tatizo kubwa la nchi yetu ni watu kuweka mategemeo makubwa bila kufikiri. Kachini ujiulize Umefanyia nini nchi yako hata kesho ukifaa utawacha kumbukumbu ipe Tanzania?? Tatizo letu nikulalamika tu. Tukipewa kazi tunakuwa wezi na mafisadi. ni mtanzania yupi anyefanya kazi kwa uaminfu 100% bila kueba au kutumia vifaa vya ofisi kwa masilahi yakee? watu wengi wanatumia vyeo au ofisi kupata maslahi binafsi. Tatizo hili ni kubwa sana kwa wasomi wetu wa TZ tubadilike tufikirie na tuone huruma kizazi chetu kilicho tusomesha kupitia kodi zao. Kama kila mtu atabadilika na kuweka UTZ mbele tutafika ila bila wasomi wetu kuwa na moyo wa uzalendo hakuna maendeleo tusilaumiane bure tuchukuwe hatua kila mtu achape kazi alipo matokeo yake tutayaona tu. TUBADILIKE TUPENDE KAZI SIO MSHARAHA NA KUPENDA RUSHWA, UTUMIAJI MBAYA WA VITU VYA OFISINI.
   
Loading...