Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mimi na ngono nje basi-bonnaventure wa clouds fm aamua kuoa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Sep 2, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Sep 2, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 26,204
  Likes Received: 2,003
  Trophy Points: 280
  MZEE WA MZIMA BONNAVENTURE AAMUA KKUOA KESHO UJUMBE ANAOOMBA SASA NGONO NJE BASI
  ANAOMBA WANAWAKEWOTE WALIOPATA BAHATI YA KUWA NAE WAAHESHIMU UAMUZI WAKE NA KWA KUSISITIZA
  KESHO AMEOMBA WIMBO WA KUIINGIA UWE

  WANAWAK E WAZURI WAZURIO WAMEOLEWA WAMEBAKI MANUNGAYEPE YANAHANGAIKA WIMBO HUU UTRAIMBWA
  MPAKA WATAKAPOKAA NA KUOMBA WALE WALIOWAHI KUPATA BAHATI NA YEYE AHITAJI KUMUONA MTU KWENYE NDOA YAKE

  ON BEHALF NA WISH KAKA HARUSI NJEMA NAJUA YAKIKUZIDI MWONE MZEE KIBONDE akusaidie Kukupa Mwongozo
   
 2. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #2
  Sep 2, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,218
  Likes Received: 1,374
  Trophy Points: 280
  Crap! Anamwoa dadako? Hii thread ina tija gani?
   
 3. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,099
  Likes Received: 4,202
  Trophy Points: 280
  Bonnaventure ndio nani?
   
 4. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #4
  Sep 2, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,001
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  And we care because...!?
   
 5. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #5
  Sep 2, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kumbe wewe Pdidy mtoto mdogo sana huyo mdogo wake Bony unamuita kaka du! Wakati huyo Bony tulikuwa tunamtuma soda pale Kilimanjaro hotel poolside..vipi venture kaoa kwenu?
   
 6. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #6
  Sep 2, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 6,538
  Likes Received: 499
  Trophy Points: 180
  Huyo boni vencha si ana miaka 45...mbona amechelewa sana kuoa.
   
 7. m

  mareche JF-Expert Member

  #7
  Sep 2, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 475
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hongera man
   
 8. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #8
  Sep 2, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 26,204
  Likes Received: 2,003
  Trophy Points: 280
  kama katuondolea mzigo tusishukuru jamani kebe ndauli be!!!
   
 9. K

  KAPONGO JF-Expert Member

  #9
  Sep 2, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  OHOOOOO! Kijana unawatukana mamba kabla mto hujauvuka!!
   
Loading...