Mimi na mwenza wangu tunatarajia kutafuta mtoto wa kike, tunataka awe Giniasi tunaomba muongozo wenu

75% ya akili ya mtoto anarithi kutoka kwa mama na 25% kutoka kwa baba. Pia, baada ya kuzaliwa, siku 1000 za kwanza anatakiwa ale chakula chenye kiasi kikubwa chenye protini isiyo chakachuliwa. Jiulize mke wako alikuwa na akili za darasani? Ndipo uchukue hatua. Kuna mambo mengi ya kujiandaa ili kupata mtoto mwenye akili
 
vitu vingne vinaendaga na historia...je kwenye familia au ukoo kuna mtu wa namna hiyo?sasa kama ukoo wote wa vichaa tupu usitegemee mtu kichwa kutokea hapo jamani

ukoo mzima una watu wenye fedha chafu ..ni ngumu kumkuta mtu ndani ya ukoo huohuo mskini wa kutupa..umasikini wake atamiliki hata vitz basi...MAJI HUFATA MKONDO
Na bendera hufuata upepo
 
Mleta mada wewe Mwenyewe ni genius au la. Kama wewe ni genius ni vizuri kuwaulizia waliokuleta dunia ndo watu wa kwanza kabisa walikulea vipi ulikuwa unapatiwa Kila unachokitaka.
 
Mleta mada wewe Mwenyewe ni genius au la. Kama wewe ni genius ni vizuri kuwaulizia waliokuleta dunia ndo watu wa kwanza kabisa walikulea vipi ulikuwa unapatiwa Kila unachokitaka.
Mi siyo genius mkuu ndo maana nataka wanangu kama kuna uwezekano wawe vizuri kiasi
 
mkuu mleta mada mtoto hukua kuanzia umri 0 hadi miaka 6.jibu maswali haya nikupe jinsi gani mtoto wako atakuwa utakavyo we haijalshi wewe au mkeo sio majinias.
HUYO MKEO WEWE NI M/UME WA NGAPI TOKA AANZE MAHUSIANO?

MKEO ANA UMRI GANI SASA?

WEWE UNA UMRI GANI?

JE MNAKUNYWA.POMBE? KWA KIWANGO GANI

MKEO NI MFANYAKAZI AU MAMA WA NYUMBANI?

ANA FANYA KAZI GANI?
 
Wakuu ninafahamu humu kuna watu wenye uelewa wa hali ya juu sana kuhusu afya. Tunaomba muongozo wenu wa namna wa kupata Giniasi wa kike.
Tutashukuru sana kwa muongozo wenu
mkuu jiby maswali post # 49
 
Wakuu ninafahamu humu kuna watu wenye uelewa wa hali ya juu sana kuhusu afya. Tunaomba muongozo wenu wa namna wa kupata Giniasi wa kike.
Tutashukuru sana kwa muongozo wenu
Kijana unanishangaza sana, eti unataka mtoto wa kike giniasi! kwanza mmeshajitathimini historia yenu? isije ikawa nyie ni vihiyo halafu unaleta swaga za maginiasi. Any way jaribu kumtafuta Dr matunge atakupa majibu.
 
Sasa mkuu ningekuwa ginias ningetakaa msaada humu? Yaani wewe na wenzio mliouliza hili swali mmenishangaza uwezo wenu wa kunisaidia kama upo
 
Zaeni Muongezeke..
hio Giniasi inatoka wapi
mkuu mbona wewe hukui Giniasi?

Zaa mwana,Leo vizuri ,Mshirikishe Mungu akulindie na tabia ovu, Mwombee mwana mafanikio

Hio Giniasi ni kitu kinakuja tu kama baraka za mwenyezi Mungu.

ila vitu vya msingi
mwombee awe mzima, afya njema
Muombee aepushwe na mabalaa
Awe na maisha mazuri, na mafanikio tele.

hizo zingine sifa
 
Back
Top Bottom