Mimi na mtoto wangu macho yanatuwasha sana

Ibrahim daud

JF-Expert Member
Feb 10, 2013
609
523
Habari,

Mimi na mtoto wangu macho yanatuwasha sana hasa kipindi tukitoka kulala.

Nlianza mimi baba leo naona binti yng wa 2yrs nae pia.

Msaada pls
 
Kuna watu wa familia mbili nimeona wanawashwa na macho na yamekuwa mekundu hadi wakaenda hospital kuna ugonjwa wa macho?
 
Back
Top Bottom