Mimi na mke wangu mapenzi yetu ya kizungu waswahili wanaona wivu

Wazee wetu ndo walianzisha swaga za mwanamke anapigwa na khanga ona asa wanachotufanyia asa hivi wanatuoshesha vyombo
 
Ubongo wa mwanamke ni kama tape recorder, kila unachokifanya yeye ndio anachukulia kuwa ni wajibu wako. Kama utafanya leo kwa lengo la kumsaidia kwasababu anaujauzito, kuna siku atakuja kukumbushia tena kwa ugonvi kabisa kuwa mbona siku hizi umebadilika humsaidii ili hali zamani ulikuwa unamsaidia kazi za nyumbani. Haitajalsha uko busy kiasi gani au unamajukumu kiasi gani kwa muda huo. Ishi nao kwa akili...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom