Mimi na MB ndo basi tena, nimepata mkombozi

The patriot man

JF-Expert Member
Aug 16, 2015
963
1,055
Daaah
Leo nmesajili line ya vodacom ya kawaida kwa shilingi 1000 tuu
Nikabonyeza *149*03#
Daaah nilichokikuta sijaamini

500 -Mb 300 kwa week
2000-GB 5 kwa week
5000-GB 10 kwa week

Daaah kiukweli mungu hamtumpi mja wakee
yaani hapa ni kushusha series na movie na software tuu

Jaribu bahati yako.
 
mimi kwenye ile ofa yao ya YA KWAKO TU nakula gb6 kwa 2000 tu, tena ni cha mwezi
 
TTCL nao washaanza kua Famba toka saa 12 jioni mpaka sasa line haipandishi mnara manina naenda tafuta line ya voda asee ni ufamba ulopitiliza huu jamaa washaanza ku fail sasa.
Line zao zina support simu zetu?au mpaka tukanunue vile visimu vyao vya UIM CARD
 
Daaah
Leo nmesajili line ya vodacom ya kawaida kwa shilingi 1000 tuu
Nikabonyeza *149*03#
Daaah nilichokikuta sijaamini

500 -Mb 300 kwa week
2000-GB 5 kwa week
5000-GB 10 kwa week

Daaah kiukweli mungu hamtumpi mja wakee
yaani hapa ni kushusha series na movie na software tuu

Jaribu bahati yako.
Sawa itakuwa line ya chuo I think
 
Back
Top Bottom