Mimi na familia yangu tunalihama kanisa Katoliki rasmi pia nakusudia kumuandikia papa barua kulishtaki Kanisa Katoliki Tanzania

Sasa si ni kanisa la Jiwe,wewe ulitarajia nini kwa mfano.

Sasa jiwe lina kanisa?

Au mawe yameanza kumsifu Mungu badala ya binadamu ili kukamilisha utabiri wa Bible kwamba watu wasiposifu, basi mawe yatafanya hivyo?
 
Hili Kanisa (Katoliki) nafikiri wana namna zao zakudeal na ishue zinazowapa mushkeli iwe kikanisa au kijamii. Hawawezi kufanya kitu kwa vile tu watu wanataka kifanyike hivo nafikiri something is cooking in there tusubiri tuone.

Mie nasubiri tu WARAKA WA UCHAGUZI 2020.
 
Sio umehama kanisa sema umehama kusanyiko la watu wenye jina la mji mkuu wa Italy.

Kanisa ni shughuli mkuu halihamiki kirahisi hivyo
Catholic Church/Kanisa Katoliki.
Ukisema Roman Catholic ni Mkatoliki wa Rumi. Kwanini nasi tusiwe Tanzanian Catholic?

Ukumbuke Roman Catholic ilitumika sana kipindi Ukatoliki unaingia Uingereza ikionesha kuwa huyu ni mkatoliki wa Rumi na mwingine ni wa Uingereza.
 
Mi siendi tena kanisani nitasali nyumbani kuhusu kuzikwa kikristo potelea pote waniache mimi na Mungu wangu.
Kwani mkuu kuzikwa kikristo au kiislamu au vinginevyo ni insurance ya kuingia au kutoingia mbinguni? Mungu atakuhumu kwa yale uliyotenda ukiwa hai na sio ulihifadhiwa namna gani.
 
Yaan Uchaguz Wa Serikali Za Mitaa Ukuhamishe Imani!!! Kweli Ndo Wale Wale Mguu Ndani Mguu Nje.
 
Wewe uliyehama kanisa katoliki una bahati sana mungu kakupa ufahamu na kakupenda sana kakufumbua macho ulikuwa umelala unabidi umshukuru mungu umewaacha wenzako wamelala fofofo hawajitambui waombee mungu na wao waamke
 
Hawachi pole, dini na siasa ni vitu sitaki kuviingilia kabisa. Tuvumiliane tu katika tofauti zetu kisiasa na kiimani.
 
Leo nimeongea na familia yangu juu ya mwenendo wa kanisa katoliki Tanzania .

Kwa moyo mweupe kabisa tumelihama kanisa hilo na tunaomba ndugu jamaa na marafiki na wote wenye mapenzi mema na taifa hili watuunge mkono.

Popote ulipo kwa dhamira yako lihame kanisa hili Mimi na familia yangu tunahamia Lutheran.

Sababu kuu Ni namna kanisa katoliki limeamua kubariki uchaguzi huu wa serikali za mitaa na kwamba hauna dosari.

Kwa hakika nimelivumilia Sana kanisa katoliki Tanzania nimeshindwa.

Linaungana na dola badala ya kuikemea dola na maovu inayoyafanya.

Kama kweli kanisa halijaona dosari ya namna Mambo yalivyoendeshwa kwenye zoezi hili la serikali za mitaa basi Sina budi kusema kwaheri.

NB. Nakusudia pia kumwandikia Papa barua ya kulishtaki kanisa katoliki Tanzania ili papa aunde tume ya kichungaji kuwachunguza Hawa viongozi wa kanisa hapa Tanzania.

Kila la heri !
 
Wewe uliyehama kanisa katoliki una bahati sana mungu kakupa ufahamu na kakupenda sana kakufumbua macho ulikuwa umelala unabidi umshukuru mungu umewaacha wenzako wamelala fofofo hawajitambui waombee mungu na wao waamke
 
Nasikia huko kwenu ubwabwa ni sunna tena inashauriwa uliwe mara tatu kwa wiki kama alivyokuwa mtume
 
Leo nimeongea na familia yangu juu ya mwenendo wa kanisa katoliki Tanzania .

Kwa moyo mweupe kabisa tumelihama kanisa hilo na tunaomba ndugu jamaa na marafiki na wote wenye mapenzi mema na taifa hili watuunge mkono.

Popote ulipo kwa dhamira yako lihame kanisa hili Mimi na familia yangu tunahamia Lutheran.

Sababu kuu Ni namna kanisa katoliki limeamua kubariki uchaguzi huu wa serikali za mitaa na kwamba hauna dosari.

Kwa hakika nimelivumilia Sana kanisa katoliki Tanzania nimeshindwa.

Linaungana na dola badala ya kuikemea dola na maovu inayoyafanya.

Kama kweli kanisa halijaona dosari ya namna Mambo yalivyoendeshwa kwenye zoezi hili la serikali za mitaa basi Sina budi kusema kwaheri.

NB. Nakusudia pia kumwandikia Papa barua ya kulishtaki kanisa katoliki Tanzania ili papa aunde tume ya kichungaji kuwachunguza Hawa viongozi wa kanisa hapa Tanzania.

Kila la heri !
Je na Lutheran wakiipongeza CCM kwa ushindi utahamia wapi mkuu! Siasa sisiyumbishe imani yako na familia yako
 
Leo nimeongea na familia yangu juu ya mwenendo wa kanisa katoliki Tanzania .

Kwa moyo mweupe kabisa tumelihama kanisa hilo na tunaomba ndugu jamaa na marafiki na wote wenye mapenzi mema na taifa hili watuunge mkono.

Popote ulipo kwa dhamira yako lihame kanisa hili Mimi na familia yangu tunahamia Lutheran.

Sababu kuu Ni namna kanisa katoliki limeamua kubariki uchaguzi huu wa serikali za mitaa na kwamba hauna dosari.

Kwa hakika nimelivumilia Sana kanisa katoliki Tanzania nimeshindwa.

Linaungana na dola badala ya kuikemea dola na maovu inayoyafanya.

Kama kweli kanisa halijaona dosari ya namna Mambo yalivyoendeshwa kwenye zoezi hili la serikali za mitaa basi Sina budi kusema kwaheri.

NB. Nakusudia pia kumwandikia Papa barua ya kulishtaki kanisa katoliki Tanzania ili papa aunde tume ya kichungaji kuwachunguza Hawa viongozi wa kanisa hapa Tanzania.

Kila la heri !
Hapo ndo mnapotupa tabu nyie mbuzi katoliki na imani yenu?
 
Amia kwa zumaridi
 
Back
Top Bottom