Mimi mwanakijiji wa Nanjinji kata ya Likonyowele Liwale mjini

Na watu wa Mautanga kata ya Likonyowele Liwale mjini kwa nke wangu, Tunaiomba tume ya Uchaguzi pesa zetu za Uchaguzi zipelekwe Ukerewe kama Ubani wetu wa boreshe kivuko chao.
Itumike garama kidgo kumuapisha Mbunge atakaye wapendeza nyie tume.Sisi iiii atuna kinyongo Bora uhai
sawasawa OF IMPORTANCE IS LIFE.
 
Nikutumie hela ununue korosho (kangomba).
Ila nasikia kuna possibility kubwa korosho mwaka huu kushuka bei.
Maua yalikauka
IMG_20180807_171358.jpg
 
Back
Top Bottom