Mimi mjamzito napata maumivu wakati wa tendo la ndoa

Wangu na wengineo. Anaweza kua satisfied kwa namna nyingine not necessarily to practice a sexual intercourse.
Atakuwa satisfied kwa namna nyingine?? No no no no naomba na naamini unachomaanisha sicho ninacho kifikiria
 
Kabla ya ujauzito halikuwepo pia kliniki naskia sijui natakiwa nianze na miezi mitatu, hivi siku ya kwanza kuanza kliniki si ndiyo napimwa kila kitu na baba mtoto au inakuwaje?
Hakikisha uende nae coz kama ni reproductive problems huwa wanaume wengi wanajitibu wakiumwa ili wake zao wawe guilty!! Hata akipona utamuambukiza tena and atakuambukiza tena nawewe ndo itakutesa so hakikisha
 
Mimi kuvumilia naweza tatizo nahofia mme Wangu ataishije bila kupewa chakula chake nisije nikamfanya akaanza kutamani vya nje nilaletewa magonjwa
Wee mwanamke unajitambha kabisa. Yaani wee mpe tuu mume huo utamu
 
Mimi kuvumilia naweza tatizo nahofia mme Wangu ataishije bila kupewa chakula chake nisije nikamfanya akaanza kutamani vya nje nilaletewa magonjwa
Unaacha kuhofia afya ya mtoto aliye tumboni unahofia mume wako ataanza kupiga mechi za nje?!
 
Back
Top Bottom