Mimi mgeni

WIZARD

Member
Sep 18, 2011
72
9
Ngo x 4...hodi,,,wenye boma ii..! nimekuja juzi toka shamba naombeni mnipokee,,! baada ya hapo naomba mnisaidie, nataka kubadili UZA NEM nifanyaje wahishimiwa.
 
Karibu sana Jamvini...kubadili uza nem mtumie PM invisible..usisahau kumtajia jina jipya utakalo.
 
Karibu sana...kumbuka kupekua kile kitabu cha wageni....JF rules, ili upate kusign humo. Otherwise enjoy
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Athe wathee mimi nashukuu nashukuru thanaee, naio kinywag ya maunden juu cifaham kwe c ifam kweli, labda iv uku mjin hamna maali naeza pata hata kitoch k 1 cha mbege kweli..?
 
Ohoo samahann jaman unajua nmeingia na viatu, daa, mbaya zaidi vinamatope ya kuzd. yaan huko nilikotoka io mvua usiombe.
 
wazee asanten kwa kunielekeza, nshabatizwa jina jingine na big brother forum.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom