Mimi mgeni wenu

Tall

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
1,425
165
Waheshimiwa wana JF wa mikoa ya TANGA, MWANZA,ARUSHA,ZANZIBAR NA MBEYA mimi ni mgeni wenu NITAONDOKA hapa DAR ndani ya mwezi mmoja kuanzia sasa nitakuwa KATIKA anga zenu.
1.ni mgeni kwelikweli na kamba mguuni ninayo.
2.Ukiwa miji ya watu sharti upige hodi.
3.Naomba wale wa miji hiyo tuwasiliane kwani nawajua wachache(SI KWA SURA) akina PJ na preta nasikia wapo Arusha zaidi ya hapo......sijui.
1.TANGA wenyeji wangu wa kule nitaomba ushauri wa kanisa lipi naweza kwenda kusali weekend.(hakuna ubaguzi wa dhehebu MUNGU NI MMOJA)ni wapi pana faa??maana naogopa wasichana/wanawake wa Tanga wasijenitia majaribuni.
2.MWANZA.....eeeeh hapa ningependa kupata SATO original ndio kwanza wamevuliwa.
3.ARUSHA....mmmh huu mji??? labda nipate ushauri wa wenyeji wapi niende wapi nisiende.
4.ZANZIBAR.....sijui urojo wapatikana wapi siku hizi,naomba ushauri wapi kwa kwenda nawapi si pa kupita,
5.MBEYA....nielezeni please, wapi safi na wapi si safi....nisije nikajuta kuzaliwa nasikia wachunaji njenje huko na visu mkononi. Labda mtu anaweza kuuliza hobby zangu.....
basi ikiwa ni hivyo hobby zangu mimi ni GENERAL nafit kwenye idara nyingi tu.......ha ha ha ha ili mradi idara hizo ni halali zisizo halali si fit kabisa.
Msaada ninaotegemea ni kuwa.....ukitaka kitu au jambo fulani nenda sehemu fulani.

waweza kuni PM au ukajibu hapahapa barazani.

USHAURI WENU NITAUFANYIA KAZI.
 
Safari njema mkuu, jana nilikuwa najiuliza uko wapi manake nakukumbuka tulijiunga rasmi hapa jamvini muda ule ule. Adios amigo!
 
Zenji ulojo mzuri utaupta Soko la mwanakwerekwe pale Al -Bahar restaurant, karibu na Duka la Asha Fatuma, juic nzuri ya tende pamoja na maziwa ya ngamia swafiiiii, njoo mkunazin, pitia uchochoro unaotokea Zanzibar Legal Service centre, na jioni tuonane forodhani yakhe kwa mishkaki ya kila aina............karibu zenji yakheeeeeeeeeeeee
 
Karibu sana Tall, hapa Arusha kuna sehemu nyingi sana maarufu, kuna mamichemsho ya ajabu yaani matamu balaaa!!! Makaburini, (Arusha City Park) Kuna Mat-k- bar (Arusha Night Park), ukitaka kuangalia maua mazuri siku hizi kuna mahali pale metro-pole (Babylon club) utayakuta mengi tu yamechanua kama waridi. Karibu sana sana, mimi nina ki-of baa changu. Kwa maelezo zaidi ukishafika ni-pm nikuonyeshe mji nikupeleke merelani (machimboni) ukaone tanzanite.
 
MWENZANGU UMESHAKUWA MWENYEJI ILE MBAYA. KAZI ZIMEZIDI MKUU. NAONA MWENZAGU POST ZAIDI YA ELFU 2 Duuuuh mkuu hiyo speed si ya kawaida itabidi wakufunge speed gavana.
 
Karibu sana ratiba yako mbona hujaweka
1.Hujambo mkuu?
2. Mhhh ni wewe, hiyo avatar yako utaiingiza shindanoni mwakani????
3.Ukifuatilia hii post utajua sasa nipo wapi.
4.Ninachoweza kusema ni kuwa ndani ya mwezi nitakuwa nimeshafika sehemu zote hizo.
 
Zenji ulojo mzuri utaupta Soko la mwanakwerekwe pale Al -Bahar restaurant, karibu na Duka la Asha Fatuma, juic nzuri ya tende pamoja na maziwa ya ngamia swafiiiii, njoo mkunazin, pitia uchochoro unaotokea Zanzibar Legal Service centre, na jioni tuonane forodhani yakhe kwa mishkaki ya kila aina............karibu zenji yakheeeeeeeeeeeee
ASANTE SANA MKUU NIKIITUA AIRPORT TU, NITA KU PM ila Mmmmm uchochoro tena. UNANITAFUTIA KABARI MKUU????? hapa bongo wanaita ROBA MBAO yaani kabari mbaya sana za watoto wa kihuni,utadhani umebanwa na mbao shingoni kumbe mkono,MKUU UCHOCHORO SALAMA?
 
Karibu hadi S'wanga....!
ASANTE SANA....ila sitafika huko mkuu, nasikia huko radi nje nje ukimuudhi mtu tu unapigwa na radi,haijalishi kuna mvua au hakuna je ya kweli hayo mkuu???? naona hata avatar yako imekaa ki denja denja.
 
Karibu sana Tall, hapa Arusha kuna sehemu nyingi sana maarufu, kuna mamichemsho ya ajabu yaani matamu balaaa!!! Makaburini, (Arusha City Park) Kuna Mat-k- bar (Arusha Night Park), ukitaka kuangalia maua mazuri siku hizi kuna mahali pale metro-pole (Babylon club) utayakuta mengi tu yamechanua kama waridi. Karibu sana sana, mimi nina ki-of baa changu. Kwa maelezo zaidi ukishafika ni-pm nikuonyeshe mji nikupeleke merelani (machimboni) ukaone tanzanite.
Sijajua hasa mji huo nimefanyiwa booking hotel gani, lakini nikitua tu airport pale KIA, au kabla sijatoka airport DAR Nitakujulisha.Kuona Tanzanite ni wazo zuri. JAPO nitakuwa bussy lakini ki -off bar chako lazima nitafika. mimi na kunywa vinywaji vya kawaida ila kuna jamaa yangu mmoja iwapo nitakuwa nae ni hatari kwa pombe kali.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom