MIMI MGENI WENU

Miss_Irene

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
320
455
Walasalamu ndg. zangu
Mimi mgeni wenu jamani, ndo kwanza nimejiunga na Jamiiforums leo

Nimepata habari za huu mtandao kutoka kwa rafiki yangu, ameniambia kuwa hapa naweza pata ushauri, ujuzi, marafiki hata bwana pia (am joking)

Naomba mnipokee jamani
 
Karibu mrembo
Hebu jitambulishe kidogo unapatikana wapi bila kusahau kuweka namba ya simu ili watu wawze kukupa ushauri vizuri na kirahisi zaidi
Ndio utaratibu wetu humu jf
 
Walasalamu ndg. zangu
Mimi mgeni wenu jamani, ndo kwanza nimejiunga na Jamiiforums leo

Nimepata habari za huu mtandao kutoka kwa rafiki yangu, ameniambia kuwa hapa naweza pata ushauri, ujuzi, marafiki hata bwana pia (am joking)

Naomba mnipokee jamani
Nami nataka kuwamo.
 
Hii wiki wageni wametaradadi!

Karibu sana Mkuu, mwenyewe ni mgeni!

Unaitwa nani vile?!

Kapicha kako ukiwa umesimama tafadhali!!

Mwifwa kwa taarifa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom